Idadi kubwa ya Waislam (99%) inaweza kuwa kikwazo cha Uturuki kutokuwa mwanachama rasmi wa EU?

Sawa mkuu, ndio maana nchi nyingi za kiislamu hazina Rais mwanamke. Au sio mkuu?...
 
Mkuu, kwani waturuki ni waarabu?
 
Albania*, Andorra, Armenia, Azerbaijan, Belarus, Bosnia, and Herzegovina*, Georgia, Iceland, Kosovo*, Liechtenstein, Moldova, Monaco, Montenegro*, North Macedonia*, Norway, Russia, San Marino, Serbia*, Switzerland, Turkey*, Ukraine
-
United Kingdom (left EU on January 31, 2020), Vatican City.

Ukitizama haya mataifa utagundua kuna vigezo kadhaa vina-miss. Vingi ni umoja wa kitaifa, uwezo kiuchumi na sheria zake, pia ukiangalia mataifa tajwa utaona imani inaweza kuwa kikwazo kama alivyotanabaisha Infantry Soldier. Zenye * ndizo ziliomba na ** hazijafikia vigezo.

Uswissi alishaweka wazi zamani sana afungamani na upande wowote! Ndio chanzo cha kutojihusisha na yeyote isipokuwa muasisi wa Red Cross.
 
Albania*, Andorra, Armenia, Azerbaijan, Belarus, Bosnia, and Herzegovina*, Georgia, Iceland, Kosovo*, Liechtenstein, Moldova, Monaco, Montenegro*, North Macedonia*, Norway, Russia
Samahani kidogo mkuu, mbona umewataja RUSSIA katika mada hii ya wanachama wa EU na NATO?...
 
Umeandik vuzur ila waturuki sio waarabu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…