Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Mhh jamn c wache na lile dege la kimRekani lilibena wafghan waje waliwekeWatu hawataki kupelekeana moto 😂
Wajinga wale.Wamekazana kwenye tamthiliya na kujilizaliza tu.Watu hawataki kupelekeana moto 😂
Hahaha.Magu angekuwepo akasikia hii angelia
Ila wanakuwa hawana furaha.Kuto zaa sana kuna okoa pesa mingi mno
Hahaha! Noma sana..Wawapeleke wasukuma kwa miaka miwili tu wataomba pooh!
Pale kwetu kijijin kuna hilo tatizo. Wachagga wote wamehamia mijin wamebaki wazee shule ni nyingi hazina wanafunzTakribani shule 49 zinatarajiwa kufungwa mwaka huu nchini Korea Kusini kutokana na ukosefu wa wanafunzi. Asilimia kubwa ya shule hizo zilizokosa wanafunzi ni zile za awali na msingi.
Ukosefu wa wanafunzi wanaoandikishwa mashuleni unasababishwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa nchini humo.
Mnamo mwaka 2023 takribani shule 22 zilifungwa kwa sababu hiyohiyo huku mwaka 2024 shule 33 zikilazimika pia kufungwa.
Vilevile mnamo mwaka 2024 takribani shule 112 nchini Korea Kusini hazikuandikisha mwanafunzi mpya hata mmoja.
Korea Kusini ni miongoni mwa nchi zenye idadi ndogo zaidi ya watoto wanaozaliwa . Kwa wastani mwanamke mmoja nchini humo anazaa watoto 0.75( chini ya mtoto mmoja) huku wastani unaotakiwa ikiwa watoto 2.1
Licha ya kuwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa, nchi ya Korea Kusini pia ni miongoni mwa nchi yenye idadi kubwa ya watu wanaojitoa uhai duniani.
CHANZO: The Korea Times.
Alisema mfyatue tu.Hahaha.
Hii ni moja ya hoja ambazo sikuwahi kukubaliana na Magufuli.
Ila alifyatua maana alikuwa na saba au zaidi.Alisema mfyatue tu.
Fact, na chanzo cha umaskini, fedheha za madeni na mambo yanayofanana na hayo ni kuwa na watoto wengiKuto zaa sana kuna okoa pesa mingi mno
Mhmmm watoto bila kujalisha chochote wanapaswa wapate vitu bora , mfano unalipia ada mil 20 kwa mwaka ili mtoto wako apate elimu bora wewe unafikiri ni uchumi upi unapaswa uwe nao ili kuwa na watoto wanne?Ila wanakuwa hawana furaha.
Ndio maana kuna mbwiga nikimwambia mimi nakula pombe leo anapandisha sukari , kumbe mjini mipango tuFact, na chanzo cha umaskini, fedheha za madeni na mambo yanayofanana na hayo ni kuwa na watoto wengi
Ee mwenyezi Mungu ikikupendeza chukua na Uyu wazanzibarTakribani shule 49 zinatarajiwa kufungwa mwaka huu nchini Korea Kusini kutokana na ukosefu wa wanafunzi. Asilimia kubwa ya shule hizo zilizokosa wanafunzi ni zile za awali na msingi.
Ukosefu wa wanafunzi wanaoandikishwa mashuleni unasababishwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa nchini humo.
Mnamo mwaka 2023 takribani shule 22 zilifungwa kwa sababu hiyohiyo huku mwaka 2024 shule 33 zikilazimika pia kufungwa. Vilevile mnamo mwaka 2024 takribani shule 112 nchini Korea Kusini hazikuandikisha mwanafunzi mpya hata mmoja.
Korea Kusini ni miongoni mwa nchi zenye idadi ndogo zaidi ya watoto wanaozaliwa . Kwa wastani mwanamke mmoja nchini humo anazaa watoto 0.75( chini ya mtoto mmoja) huku wastani unaotakiwa ikiwa watoto 2.1
Licha ya kuwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa, nchi ya Korea Kusini pia ni miongoni mwa nchi yenye idadi kubwa ya watu wanaojitoa uhai duniani.
CHANZO: The Korea Times.
Yaani hawazai, pili wanajinyonga na tatu. baada ya muda kutakuwa na wazee wengi kuliko vijana nguvu kazi ya taifa, itabidi waanze kuajiri raia wamataifa mengine