Idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa yasababisha baadhi ya shule kufungwa nchini korea kusini

Hawawezi kukubali waafrika weusi kujazana katika nchi yao.
 
Hawawezi kukubali waafrika weusi kujazana katika nchi yao.
Wakenya wako wengi balaa Korea Kusini. Hata Wajerumani walikuwa hivyo hivyo, na sasa wahamiaji wapo kibao.
 
Wakati huohuo waafrika wanazaliana kama mapanya kuongeza idadi ya maskini duniani.
 
Si huwa tunaambiwa Korea Kusini wanaishi amisha ra raha mustarehe maana wanaishi kama Marekani na Ulaya. sasa hii ya watu kujitoa uhai kwa kiwango kikubwa inatoknana na nini tena wakati wanaishi kwa raha
 
Upweke na msongo wa mawazo. Nchi "zilizoendelea" hayo ni masuala ya kawaida. Korea ni miongoni mwa nchi ambazo watu wanafanya kazi sana kwa masaa mengi, hii husababisha watu kuwa na muda mchache wa kukaa na familia. Wengine huweza kuamua kutokuwa na mwenzi au watoto. Kukosa muda wa kutosha kuwa na familia husababisha matatizo ya afya ya akili ambayo huweza kupelekea mtu kujitoa uhai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…