Hapana mkuu..Mimi ni mzazi
Wana jf naomba kujuzwa, kwa anayefaham kiwango cha fimbo, anachotakiwa kuchapwa mwanafunzi pindi anapofanya kosa shuleni?..maana huku kwetu st kayumba naona kumchapa mwanafunzi imekua fashion..utakuta kijana anachapwa hadi anaichukia shule. natanguliza shukran wana jamvi...
Wana jf naomba kujuzwa, kwa anayefaham kiwango cha fimbo, anachotakiwa kuchapa mwanafunzi pindi anapofanya kosa shuleni?..maana huku kwetu st kayumba naona kumchapa mwanafunzi imekua fashion..utakuta kijana anachapwa hadi anaichukia shule. natanguliza shukran wana jamvi...
Ni fimbo tatu na anaye ruhusiww ni headmaster tuu.... kutoka na yy kuwa na majukumu mengi ndo maana anawaruhusu walimu wengine kuchapwa....lakini wizara ya elimu sheria ya fimbo ni tatu mwishooo..... sema co kesi kaka pole kwa mwanao kuchezea bakoraaa hizo nyingi huwezi jua may be mwalimu usiku wake ndoa yake ilikuwa na matatizo kaamua kumalizia xul mfuate ticha mchane ukweliiiii usimpige maana itakuwa kesi kubwa mchane alicho fanya co.......mm nimesoma toka o level had advance tulikuwa haturuhusiwi kuchapwa na mwlim akikuchapa kazi hanaaa na watu walikuwa wana fauluuu duuuu pole mbaba
Mimi ni mwalimu kwa takriban miaka mitatu sasa. Na nina uzoefu mkubwa sana na wanafunzi na tabia zao kwa kwa mfululizo miaka miwili nimekuwa mwadili wa wanafunzi. Kesi nyingi wazazi huwa hawatoi msaada na mara nyingi hujikuta wakiwatetea watoto wao suala ambalo huwa sababu kubwa ya migogoro kati ya wazazi na watoto.mara nyingi mwanafunzi huadhibiwa kulingana na kosa japo kuwa saa nyingine kosa dogo huwa kubwa kutokana na response ya mwanafunzi anaporekebishwa juu ya kosa hilo. Wakati mwingine wanafunzi huwajibu vibaya na hata kuoneaha sharau kwa walimu wao hasa wanapokuwa wanatambuwa kuwa mkuu wa shule ndiye mwenye jukumu la kutoa adhabu kwa mwanafunzi. Cha msingi mzazi hutakiwi kuwa na jazba badala yake unatakiwa kuwa mpole na kumsaidia mwalimu ili kumsaidia mtoto wetu. Mwalimu ni zaidi ya mzazi na ndio maana mwalimu huaminiwa na kupewa mtoto kukaa nae kwa mda mrefu zaidi hata ya mzazi. Mzazi pole tushirikiane kwa hili kwani hata mara nyingine wazazi huwazidishia mapigo watoto wao si kwakuwa hawawapendi ila kwa kuwa wanawapenda sana.
kuna walimu washenzi sana, kuna nakumbuka shuleni kuna siku walitugonga darasa zima kila mtu viboko 15, na kungoa visiki af wakanipa spar, hilo ticha MWANDOSYA sitakuja kulisahau kudadek
wewe uliza idadi ya fimbo lkn haisaidii kama mie ndo mwalimu mwanafunzi akifanya kosa lzm achezee kichapo na akigoma hata ngumi anachukua kwa sababu wazaz wengi mnawatia vibuli wanafunzi na wewe mzazi ukija umepanic tunaupanga pia then uende ukareport unakotaka
Over