yabolingo
Member
- Aug 25, 2014
- 76
- 6
Wana JF naomba kujuzwa, kwa anayefaham kiwango cha fimbo, anachotakiwa kuchapwa mwanafunzi pindi anapofanya kosa shuleni ? Maana huku kwetu St kayumba naona kumchapa mwanafunzi imekua fashion.
Utakuta kijana anachapwa hadi anaichukia shule.
Natanguliza shukran wana jamvi.
Utakuta kijana anachapwa hadi anaichukia shule.
Natanguliza shukran wana jamvi.