Idadi ya fimbo anazotakiwa kuchapwa mwanafunzi

yabolingo

Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
76
Reaction score
6
Wana JF naomba kujuzwa, kwa anayefaham kiwango cha fimbo, anachotakiwa kuchapwa mwanafunzi pindi anapofanya kosa shuleni ? Maana huku kwetu St kayumba naona kumchapa mwanafunzi imekua fashion.

Utakuta kijana anachapwa hadi anaichukia shule.

Natanguliza shukran wana jamvi
.
 
Wana jf naomba kujuzwa, kwa anayefaham kiwango cha fimbo, anachotakiwa kuchapwa mwanafunzi pindi anapofanya kosa shuleni?..maana huku kwetu st kayumba naona kumchapa mwanafunzi imekua fashion..utakuta kijana anachapwa hadi anaichukia shule. natanguliza shukran wana jamvi...

Awali ya yote mkuu,kati adhabu ngumu kama kung'oa viski, mawe na kadhalika kipi kwa mtazamo wako ungeonelea kifanyike,kwa uzoefu,mwanafunzi wa o'level anatakiwa kuchawa fimbo 4 tu kwa kosa moja,ila mkuu wa shule ndo anatakiwa aruhusu mwanafunzi huyo aadhibiwe,KWA UPANDE wa A'LEVEL mwanafunzi anatakiwa kuchapwa fimbo 2 kwa kosa moja,ila mkuu wa shule ndiye atoaye adhabu hiyo na siyo mwalimu mwingine!!
 
Wana jf naomba kujuzwa, kwa anayefaham kiwango cha fimbo, anachotakiwa kuchapa mwanafunzi pindi anapofanya kosa shuleni?..maana huku kwetu st kayumba naona kumchapa mwanafunzi imekua fashion..utakuta kijana anachapwa hadi anaichukia shule. natanguliza shukran wana jamvi...

Ni fimbo tatu na anaye ruhusiww ni headmaster tuu.... kutoka na yy kuwa na majukumu mengi ndo maana anawaruhusu walimu wengine kuchapwa....lakini wizara ya elimu sheria ya fimbo ni tatu mwishooo..... sema co kesi kaka pole kwa mwanao kuchezea bakoraaa hizo nyingi huwezi jua may be mwalimu usiku wake ndoa yake ilikuwa na matatizo kaamua kumalizia xul mfuate ticha mchane ukweliiiii usimpige maana itakuwa kesi kubwa mchane alicho fanya co.......mm nimesoma toka o level had advance tulikuwa haturuhusiwi kuchapwa na mwlim akikuchapa kazi hanaaa na watu walikuwa wana fauluuu duuuu pole mbaba
 
Akhsante kwa kunijuza mkuu..laiti ungelijua jazba niliyonayo hapa kuhusu huyo mwalimu, nadhan ungenihurumia..ndio maana nimeona kabla sijafanya uwamuz wwte, nianzie hapa kwanza jamvini, walau nikifika mbele zaidi nijue ntamkabili vipi.
 
Mimi ni mwalimu kwa takriban miaka mitatu sasa. Na nina uzoefu mkubwa sana na wanafunzi na tabia zao kwa kwa mfululizo miaka miwili nimekuwa mwadili wa wanafunzi. Kesi nyingi wazazi huwa hawatoi msaada na mara nyingi hujikuta wakiwatetea watoto wao suala ambalo huwa sababu kubwa ya migogoro kati ya wazazi na watoto.mara nyingi mwanafunzi huadhibiwa kulingana na kosa japo kuwa saa nyingine kosa dogo huwa kubwa kutokana na response ya mwanafunzi anaporekebishwa juu ya kosa hilo. Wakati mwingine wanafunzi huwajibu vibaya na hata kuoneaha sharau kwa walimu wao hasa wanapokuwa wanatambuwa kuwa mkuu wa shule ndiye mwenye jukumu la kutoa adhabu kwa mwanafunzi. Cha msingi mzazi hutakiwi kuwa na jazba badala yake unatakiwa kuwa mpole na kumsaidia mwalimu ili kumsaidia mtoto wetu. Mwalimu ni zaidi ya mzazi na ndio maana mwalimu huaminiwa na kupewa mtoto kukaa nae kwa mda mrefu zaidi hata ya mzazi. Mzazi pole tushirikiane kwa hili kwani hata mara nyingine wazazi huwazidishia mapigo watoto wao si kwakuwa hawawapendi ila kwa kuwa wanawapenda sana.
 
kuna walimu washenzi sana, kuna nakumbuka shuleni kuna siku walitugonga darasa zima kila mtu viboko 15, na kungoa visiki af wakanipa spar, hilo ticha MWANDOSYA sitakuja kulisahau kudadek
 
mwalimu ni mzaz 2 kama ww na idad ya viboko hutegemea na kosa lenyew mfano kachelewa kufka shule viboko viwil lakin akifanya kosa lingne mfano amempga mwenzake kwa kutumia siraha hapoooi anaweza pigwa hata kumi tano ili liwe fundisho na kwa wengne
 
wewe uliza idadi ya fimbo lkn haisaidii kama mie ndo mwalimu mwanafunzi akifanya kosa lzm achezee kichapo na akigoma hata ngumi anachukua kwa sababu wazaz wengi mnawatia vibuli wanafunzi na wewe mzazi ukija umepanic tunaupanga pia then uende ukareport unakotaka

Over
 
Mimi ni mwalimu kwa takriban miaka mitatu sasa. Na nina uzoefu mkubwa sana na wanafunzi na tabia zao kwa kwa mfululizo miaka miwili nimekuwa mwadili wa wanafunzi. Kesi nyingi wazazi huwa hawatoi msaada na mara nyingi hujikuta wakiwatetea watoto wao suala ambalo huwa sababu kubwa ya migogoro kati ya wazazi na watoto.mara nyingi mwanafunzi huadhibiwa kulingana na kosa japo kuwa saa nyingine kosa dogo huwa kubwa kutokana na response ya mwanafunzi anaporekebishwa juu ya kosa hilo. Wakati mwingine wanafunzi huwajibu vibaya na hata kuoneaha sharau kwa walimu wao hasa wanapokuwa wanatambuwa kuwa mkuu wa shule ndiye mwenye jukumu la kutoa adhabu kwa mwanafunzi. Cha msingi mzazi hutakiwi kuwa na jazba badala yake unatakiwa kuwa mpole na kumsaidia mwalimu ili kumsaidia mtoto wetu. Mwalimu ni zaidi ya mzazi na ndio maana mwalimu huaminiwa na kupewa mtoto kukaa nae kwa mda mrefu zaidi hata ya mzazi. Mzazi pole tushirikiane kwa hili kwani hata mara nyingine wazazi huwazidishia mapigo watoto wao si kwakuwa hawawapendi ila kwa kuwa wanawapenda sana.

Nani kakudanganya kuwa ww ni zaidi ya mzazi???? Umebugia unga wa chaki nn.... nyie mnabore sanaaaa mnashindwa kujua kuwa mwanafunzi naye ni binadamu na ana hasira muda mwingineeee mnashindwa kuongea nae kiustarabu akifika nyie ni fimbooi tuu leo useme ni zaidi ya mzazi we vipiii.... adhbu nyingne zaidi ya fimbo haipoooo?.... hasa nyie walimu wa kiumeee mkiona kuna kimwalimu cha kike pembeni basi unajikuta ww ndo ww...ili usifiwe na mwalimu.wa kike.... nyie mnaboa bana.... fimbo sio kumwonya mtoto maumivu yataisha na atakuwa sugu lakini maneno ya hekima kamwe hayawezi mtoka acheni ushamba so ww miaka mitatu una ujuzi wa kuchapa? Usiji danganye ww ni zaidi ya mzazi
 
kuna walimu washenzi sana, kuna nakumbuka shuleni kuna siku walitugonga darasa zima kila mtu viboko 15, na kungoa visiki af wakanipa spar, hilo ticha MWANDOSYA sitakuja kulisahau kudadek

Ni haki na ni vizuri mwanafunzi anaeleta ujeuri aadhibiwe!
 
Hebu siku poteeni njia muende pale Azania sekondari nilicheka mpaka basi mkuu wa shule yeye ni fimbo kuanzia sita
 
wewe uliza idadi ya fimbo lkn haisaidii kama mie ndo mwalimu mwanafunzi akifanya kosa lzm achezee kichapo na akigoma hata ngumi anachukua kwa sababu wazaz wengi mnawatia vibuli wanafunzi na wewe mzazi ukija umepanic tunaupanga pia then uende ukareport unakotaka

Over

Usikurupuke mkuu kama panya aliyekutana na paka uvunguni?..swali umelielewa kwanza?
 
Mimi ni mwalimu kwa takriban miaka mitatu sasa. Na nina uzoefu mkubwa sana na wanafunzi na tabia zao kwa kwa mfululizo miaka miwili nimekuwa mwadili wa wanafunzi. Kesi nyingi wazazi huwa hawatoi msaada na mara nyingi hujikuta wakiwatetea watoto wao suala ambalo huwa sababu kubwa ya migogoro kati ya wazazi na watoto.mara nyingi mwanafunzi huadhibiwa kulingana na kosa japo kuwa saa nyingine kosa dogo huwa kubwa kutokana na response ya mwanafunzi anaporekebishwa juu ya kosa hilo. Wakati mwingine wanafunzi huwajibu vibaya na hata kuoneaha sharau kwa walimu wao hasa wanapokuwa wanatambuwa kuwa mkuu wa shule ndiye mwenye jukumu la kutoa adhabu kwa mwanafunzi. Cha msingi mzazi hutakiwi kuwa na jazba badala yake unatakiwa kuwa mpole na kumsaidia mwalimu ili kumsaidia mtoto wetu. Mwalimu ni zaidi ya mzazi na ndio maana mwalimu huaminiwa na kupewa mtoto kukaa nae kwa mda mrefu zaidi hata ya mzazi. Mzazi pole tushirikiane kwa hili kwani hata mara nyingine wazazi huwazidishia mapigo watoto wao si kwakuwa hawawapendi ila kwa kuwa wanawapenda sana.

Akhsante mwalimu kwa ushaur
 
Tandika hata viboko 30 akizingua unampa mawashi ya shingo mixer ndonga za ukweli.
 
Back
Top Bottom