Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Sacrament
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Kuna kijana namjua muislamu alikuwa anakula sana hio kitu.Oya hiyo kitu sio poa kabisa [emoji39][emoji39][emoji39]
Kuna jamaa ni Mwislamu alileta kitimoto nusu geto ikabidi nitoke nikaongeze jumla ikawa kilo 2.
Tulikula hadi kujilamba afu nakumbuka hy siku ilikuwa Ijumaa.
Hahahaa mi simoOya hiyo kitu sio poa kabisa [emoji39][emoji39][emoji39]
Kuna jamaa ni Mwislamu alileta kitimoto nusu geto ikabidi nitoke nikaongeze jumla ikawa kilo 2.
Tulikula hadi kujilamba afu nakumbuka hy siku ilikuwa Ijumaa.
Sigda ndio nn!?Mimi Kuna kijana namjua muislamu alikuwa anakula sana hio kitu.
Tulikuwa tunamwambia we si muislamu anasema bhanaaa eeeh!! Acha Nile tu.
Ila siku kawa ustaadh swala Tano na sigda anayo[emoji1787][emoji1787]
Haina mwenyewe hiyo.Mimi Kuna kijana namjua muislamu alikuwa anakula sana hio kitu.
Tulikuwa tunamwambia we si muislamu anasema bhanaaa eeeh!! Acha Nile tu.
Ila siku kawa ustaadh swala Tano na sigda anayo[emoji1787][emoji1787]
Pongezi ziende kwa Waziri muislamu Abdallah Ulega kwa kusimamia vizuri wizara kuhakikisha ufugaji wa nguruwe unaongezekaWaziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M).
Dah natokwa na mate tayari, basi wasushe bei ya kilo jamani.Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M).
Hii ni habari nzuri kwa walaji wa kitoweo hicho maarufu kama "Kitimoto" "Mdudu" ambacho kimekua kikipendwa na watu mbali mbali hapa nchini bila kuchagua rika,kabila wala dini.
View attachment 2607474View attachment 2607475
Mkuu, unalinganisha pork na vitoeo vingine vyenye maradhi ya magoti. Pork hana mpinzani.Mbuzi na kitimoto ipi ni nyama tamu
Mkuu fafanua; uongo ni upi na umbea ni upi?Hii khabari imejaa uongo na umbea 🤣🤣🤣
Nakubaliana na wewe Mkuu, na hayo mabadiliko yametokana na climate change. Hivyo ni halali kwa wote.Hiyo ni old generation, ya nguruwe enzi za yesu huko,
Current generation hawana mapepo
Uchokozi tu😂😂😂😂Oya hiyo kitu sio poa kabisa 😋😋😋
Kuna jamaa ni Mwislamu alileta kitimoto nusu geto ikabidi nitoke nikaongeze jumla ikawa kilo 2.
Tulikula hadi kujilamba afu nakumbuka hy siku ilikuwa Ijumaa.
Mkuu ukifuga nguruwe anakutoa kwenye umaskini, maana uzazi wake ni wa watoto wengi na ukifanikiwa kuwatunza una uza kwa bei mzuri.ufugaji wa nguruwe kwa mwenye mtaji kidogo ni salamu ya kuwa maskni
Cc wazee wa kula hii makitu kwa kujificha.Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M).
Hii ni habari nzuri kwa walaji wa kitoweo hicho maarufu kama "Kitimoto" "Mdudu" ambacho kimekua kikipendwa na watu mbali mbali hapa nchini bila kuchagua rika,kabila wala dini.
View attachment 2607474View attachment 2607475
Tatizo la hiyo nyama, ukinunua kilo 2 unakula kilo 1, nyingine unatupa Kwa sababu ya wingi wa mafutaLeo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M).
Hii ni habari nzuri kwa walaji wa kitoweo hicho maarufu kama "Kitimoto" "Mdudu" ambacho kimekua kikipendwa na watu mbali mbali hapa nchini bila kuchagua rika,kabila wala dini.
View attachment 2607474View attachment 2607475
Hamuoni huyo mnyama kuwa ni mchafu sana na ananuka.Kwanini mnakula wakati kitoweo safi na halali kama mbuzi na ng'ombe wamejaa.Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M).
Hii ni habari nzuri kwa walaji wa kitoweo hicho maarufu kama "Kitimoto" "Mdudu" ambacho kimekua kikipendwa na watu mbali mbali hapa nchini bila kuchagua rika,kabila wala dini.
View attachment 2607474View attachment 2607475
Walaji wamepunguaUnataka kusemaje Sasa!? Mbona hawa watu wameongezeka!?
Yalibaki bahariniBaada ya mapepo kuwaingilia wale Nguruwe na wao wakaenda kujitosa baharini wakafa...
Umeelewa nini?