Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

"Kwa mwaka 2022/23 kuku wameongezeka kutoka milioni 92.8 hadi milioni 97.9 ambapo kuku wa asili wameongezeka kutoka milioni 42.7 hadi milioni 45.1, kuku wa kisasa kutoka milioni 50.1 hadi milioni 52.8 na nguruwe kutoka milioni 3.4 hadi milioni 3.7,"- Abdallah Ulega, Waziri wa Mifugo

FB_IMG_1683107120165.jpg
 
Kwa takwimu hizo nguruwe mmoja kwa kilo za chini huwa na kilo 40.Kwa.nguruwe hao milioni tatu na laki saba wakichinjwa ni sawa na kilo 148,000,000 jumla ya watanzania tuko milioni 60

Wakichinjwa kila mtanzania akiwemo waziri mhusika na mifugo atapata nyama ya nguruwe kilo mbili na nusu.Si haba.
 
Tukisema tuwatoe waislam na wasabato kwenye mgao kila mtu atapata kilo 5,halafu atamkaribisha muislam mmoja au msabato mmoja anayetumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M).

Hii ni habari nzuri kwa walaji wa kitoweo hicho maarufu kama "Kitimoto" "Mdudu" ambacho kimekua kikipendwa na watu mbali mbali hapa nchini bila kuchagua rika,kabila wala dini.

View attachment 2607474View attachment 2607475
Wamewahesabuje wakajua wako mil 3 na laki 7.mbona sijaona MTU aje kuhesabu WA kwangu.
 
🐷
 
Attachments

  • FB_IMG_1679327230912.jpg
    FB_IMG_1679327230912.jpg
    47.9 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1677664295115.jpg
    FB_IMG_1677664295115.jpg
    88.9 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1676912107622.jpg
    FB_IMG_1676912107622.jpg
    100.5 KB · Views: 2
Tukisema tuwatoe waislam na wasabato kwenye mgao kila mtu atapata kilo 5,halafu atamkaribisha muislam mmoja au msabato mmoja anayetumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha mbavu zangu umenichekesha nilikuwa na issues kichwani nimecheka ghafla mpaka naulizwa unacheka nini wakati ulikuwa umetununia na una hasira kwenye kikao

Jamii Forums kiboko
 
Inamaana hazichinjwi ndiya zimeongeka?
 
H
Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M).

Hii ni habari nzuri kwa walaji wa kitoweo hicho maarufu kama "Kitimoto" "Mdudu" ambacho kimekua kikipendwa na watu mbali mbali hapa nchini bila kuchagua rika,kabila wala dini.

View attachment 2607474View attachment 2607475
Habari njema sana hii
 
H

Habari njema sana hii
Kesho gazeti lolote likitaka kuuza nakala nyingi liandike ukurasa wa mbele luwa wananchi wengi wafurahia taarifa ya kuongezeka kwa mifugo ya nguruwe nchini iliyotolewa na waziri wa mifugo bungeni

Ndani waaandike wananchi tuliowahoji walionyeshwa kufurahishwa na kuongezeka kwa nguruwe wanaofugwa

Na wameipongeza serikali ya awamu ya sita kwa juhudi wanazofanya kuhakikisha ufugaji wa mifugo unapanda ukiwemo ufugaji wa Nguruwe
 
Mapema hapo majuzi waziri wa mifugo Mh. Abdallah Ulega wakati akizungumza katika vikao vinavyoendekea bungeni jijini dodoma.

Mh waziri Amethibitisha kuwa, mnyama mtamu apendwae na wengi Nguruwe wameongezeka kwa wingi kutoka ml 3.4 hadi ml 3.7 kwa mwaka wa 2022/ 2023.

Kazi kwenu walaji wa kitoweo hiki, jamaa wapo wa kutosha.

EE08D091-2465-44A4-A888-EB75F9161A68.jpeg
 
Back
Top Bottom