Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili warandane na idadi ya watu wanapaswa kuwa wangapiWatanzania milion 61+ naona nguruwe bado hawatoshi
Aisee mzigo mchache sana......soon tutalazimika kuimport mdudu toka njeWatanzania milion 61+ naona nguruwe bado hawatoshi
Usiwafanyie wenzako hivyo mkuuSAMALEKO OSTADHI
Kwa uchaache milion 10+Ili warandane na idadi ya watu wanapaswa kuwa wangapi
SubhanallahMduduu hoyee!!!! Jinsi wanavyokupinga kwa propaganda za kijinga, mara una minyoo inayoingia kwenye ubongo, mara nyama yako ukiweka limao minyoo inazaliwa , Ndivyo mwamba unavyozidi kuongezeka hapa nchi Takatifu ikimasha kuwa unaendelea kupata marafiki wengi hata wale waliodanganywa na Mila na vitabu vya kizamani kuwa wewe hufai Wana jisonsomoa iwe kwa wazi au kwa Siri baada ya kuona wanaokula haeagi Bali Wana afya tele
Hasa ufugaji ujikite zaidi zanzibarIdadi ndogo sana ngoja tuongeze kasi ya ufugaji.
Tanzania sihami🤣Cha kushangaza soko Lao kubwa ni unguja na Pemba
Mapema hapo majuzi waziri wa mifugo Mh. Abdallah Ulega wakati akizungumza katika vikao vinavyoendekea bungeni jijini dodoma.
Mh waziri Amethibitisha kuwa, mnyama mtamu apendwae na wengi Nguruwe wameongezeka kwa wingi kutoka ml 3.4 hadi ml 3.7 kwa mwaka wa 2022/ 2023.
Kazi kwenu walaji wa kitoweo hiki, jamaa wapo wa kutosha.
View attachment 2610166
Ila akizidisha mafuta anakinai..Mapema hapo majuzi waziri wa mifugo Mh. Abdallah Ulega wakati akizungumza katika vikao vinavyoendekea bungeni jijini dodoma.
Mh waziri Amethibitisha kuwa, mnyama mtamu apendwae na wengi Nguruwe wameongezeka kwa wingi kutoka ml 3.4 hadi ml 3.7 kwa mwaka wa 2022/ 2023.
Kazi kwenu walaji wa kitoweo hiki, jamaa wapo wa kutosha.
View attachment 2610166
Sheikh aliwasaliti 🤣🤣🤣🤣kuna siku nilikua apa majani mapana duka la mchaga karibu na msikitini zilipitishwa nguruwe mbili na huniao spidi sana nafikiri kuna shehe alitusaliti