Idadi ya Taasisi za Kimataifa zilizohudhuria Mkutano Mkuu wa Chadema inatisha, Ni rekodi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.

Ushahidi huu hapa

Screenshot_2025-01-21-19-08-15-1.png

Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
 
Ya CCM Sasa Wasanii wa Bongo flavour, Singeli, Kigodoro, Mdumange na Kibabage wakiwakilishwa na Kiongozi wao mashuhuri aliyevaa Dera lenye ujumbe MCHEPUKO SIYO DILI BAKI NJIA KUU naye ni LUCAS MWANSHAMBAA na kilemba cha rangi ya Njano kama Siagi
 
Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.

Ushahidi huu hapa

View attachment 3209362

Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Ni standard norm hata kule walishiriki

But ni normal kule ndio maana huoni ikiwa promoted

Hata uzinduzi tu wa mbegu bora za samaki huwa wanajazana
 
Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.

Ushahidi huu hapa

View attachment 3209362

Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .

..viongozi gani wa Dini wamehudhuria mkutano.

..upande wa Ccm nilimuona mpaka Mufti wa Bakwata amehudhuria.
 
Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.

Ushahidi huu hapa

View attachment 3209362

Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
hawakualikwa
Uapisho wa Trump hakuan hata kiongozi mmoja kutoka nje.

Chadema wana fadhiliwa na hawo nawo ndio waliofadhili na hawo watu Lissu.
Mnasema mama kauza nchi subirini Lissu aje kufanya yake akishinda.
 
Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.

Ushahidi huu hapa

View attachment 3209362

Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Ndio maana Mbowe hawezi kushindwa. Lissu akimshinda kwa kupata kura nyingi zaidi yake atakubali matokeo na kumpongeza. Huo utakuwa mfano wa kuigwa kwa vyama vyote vya siasa ambavyo imani yao ni kuwa kiongozi Mkuu hawezi kushindwa kwenye uchaguzi. Sasa hivi kushindwa kwa kiongozi ni kupata kura chini ya 90%. Akishindwa kura atabakiza heshima yake katika jamii na itakuwa zamu yake kuangalia wenzake watakavyoongoza chama chake. Kwa hilo wote tutamshukuru.

Akipata kura zaidi ya washindani wake bado atakuwa amethibitisha kuwa hamzuii mtu yeyote kugombea nafasi yake.

Amandla...
 
BAKWATA ni Taasisi ya ccm, ilianzishwa na Julius Nyerere akishirikiana na Paulo Bomani

..lakini Bakwata ina wapigakura ambao Chadema lazima iwafikie na kuwashawishi.

..historia ya kuanzishwa kwa Bakwata isiwe kikwazo kwa Chadema kujaribu kuwafikia wafuasi wao.

..pia mienendo ya viongozi wa Bakwata isiwazuie Chadema kuwafikia viongozi hao.
 
Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.

Ushahidi huu hapa

View attachment 3209362

Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Kule hawaihitaji kuelewa kwa misaada, nimemsikiliza Mnyika kwa miaka mitano misaada ya wahisani ni billion moja tu
 
..lakini Bakwata ina wapigakura ambao Chadema lazima iwafikie na kuwashawishi.

..historia ya kuanzishwa kwa Bakwata isiwe kikwazo kwa Chadema kujaribu kuwafikia wafuasi wao.

..pia mienendo ya viongozi wa Bakwata isiwazuie Chadema kuwafikia viongozi hao.
Ni kweli, Japo utafiti wetu unaonyesha kwamba 80% ya Waislam si wanachama wa Bakwata, ila wanaheshimu tu Uislam wao akiwemo Issah Ponda
 
Back
Top Bottom