Kule hawaihitaji kuelewa kwa misaada, nimemsikiliza Mnyika kwa miaka mitano misaada ya wahisani ni billion moja tu
..CCM inapokea 3.2 BILLIONS kila mwezi kama ruzuku toka kwa Msajili wa vyama vya siasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule hawaihitaji kuelewa kwa misaada, nimemsikiliza Mnyika kwa miaka mitano misaada ya wahisani ni billion moja tu
Ni kweli, Japo utafiti wetu unaonyesha kwamba 80% ya Waislam si wanachama wa Bakwata, ila wanaheshimu tu Uislam wao akiwemo Issah Ponda
Nakubali hilo, tushaanza kupandikiza Mashehe wetu Bakwata ( usimwambie mtu)..lakini Chadema inahitaji kura za kila Mtanzania.
..chaguzi sio rahisi hivyo kwa Chadema kiasi cha kuona wafuasi wa Bakwata ni kura kiduchu.
Kwani hao nd wapiga kura wa uchaguz Mkuu?Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
View attachment 3209362
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Kuna watu hawataki kukubali Mbowe na team yake walifanya kazi kubwa kuifikisha chadema ilipo.Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
View attachment 3209362
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Kiukweli waislamu wengi hawaikubali Bakwata...lakini Bakwata ina wapigakura ambao Chadema lazima iwafikie na kuwashawishi.
..historia ya kuanzishwa kwa Bakwata isiwe kikwazo kwa Chadema kujaribu kuwafikia wafuasi wao.
..pia mienendo ya viongozi wa Bakwata isiwazuie Chadema kuwafikia viongozi hao.
Nyumbu ni washamba na malimbukeni wasiojielewa......Kila kitu yenyewe yanajaribu kujilinganisha na kule wakati ukweli ni kuwa wamezidiwa mara zaidi ya 1000..Ni standard norm hata kule walishiriki
But ni normal kule ndio maana huoni ikiwa promoted
Hata uzinduzi tu wa mbegu bora za samaki huwa wanajazana
Hehe ila mwisho wa siku hawataapisha mtu wa huko aingie Ikulu zaidi wawaandalie makazi mema huko kwenye nchi zaoHili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
View attachment 3209362
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Labda ashinde ubeligijihawakualikwa
Uapisho wa Trump hakuan hata kiongozi mmoja kutoka nje.
Chadema wana fadhiliwa na hawo nawo ndio waliofadhili na hawo watu Lissu.
Mnasema mama kauza nchi subirini Lissu aje kufanya yake akishinda.
Kule Dom mambo yalikuwa tofauti kabisa waalikwa kwa asilimia 90 walikuwa chawa, kunguni, papasi, viroboto na wajingawajinga wengine kibaoHili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
View attachment 3209362
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Kimya . .kimyaa. .Nakubali hilo, tushaanza kupandikiza Mashehe wetu Bakwata ( usimwambie mtu)
Kama ndio Umefika Tanzania leo, utadhani ni Uchaguzi wa MarekaniHili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
View attachment 3209362
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
HahahahaUnaambiwa wameapa kukesha
Ccm imeuza sana rasilimali za Nchihawakualikwa
Uapisho wa Trump hakuan hata kiongozi mmoja kutoka nje.
Chadema wana fadhiliwa na hawo nawo ndio waliofadhili na hawo watu Lissu.
Mnasema mama kauza nchi subirini Lissu aje kufanya yake akishinda.
19 jan walikuwepo Dodoma? Wazungu hawawezi kuhudhuria kwenye maigiza yale ya FutuhiBavicha bwana.
Yaani ukiona tu mzungu unalegea mwili mzima.
Karibu CCM huko utakutana nao kila mara wala hutaona ajabu tena.
Hakuna kibaka wala beberuUnataka kusemaje mkuu..? Utasikia vibaraka wa mabeberu