Idadi ya Taasisi za Kimataifa zilizohudhuria Mkutano Mkuu wa Chadema inatisha, Ni rekodi

Idadi ya Taasisi za Kimataifa zilizohudhuria Mkutano Mkuu wa Chadema inatisha, Ni rekodi

Ya CCM Sasa Wasanii wa Bongo flavour, Singeli, Kigodoro, Mdumange na Kibabage wakiwakilishwa na Kiongozi wao mashuhuri aliyevaa Dera lenye ujumbe MCHEPUKO SIYO DILI BAKI NJIA KUU naye ni LUCAS MWANSHAMBAA na kilemba cha rangi ya Njano kama Siagi
Alafu wachepukaji waliishia kuchepuka na wachepukaji wenzao kama wapo kwenye mashindano
 
Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.

Ushahidi huu hapa

View attachment 3209362

Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Kwa sababu chadema ni chama kinadai kinafuata demokrasia ya kiliberali. Wamagharibi wanatarajia chadema kiwaondoe ccm iliyokua ya kimapinduzi na kijamaa madarakani.
 
Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.

Ushahidi huu hapa

View attachment 3209362

Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Kuna baadhi ya wagombea wametuaibisha sana walivyojibu maswali.

Mfano, kuna mgombea mmoja wa uMakamu Mwenyekiti Zanzibar aliulizwa falsafa ya CHADEMA ni nini? Akajibu kwa confidence zote "Stronger Together".

Mtu anataka kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hajui tofauti ya falsafa na slogan.

Ila, kiujumla, CHADEMA imetoa somo kubwa sana kuonesha jinsi uchaguzi wa kidemokrasia unavyotakuwa kuwa, tofauti na upande wa pili ambapo fomu ni moja tu, tena kwa kuvunja katiba.

Kwa hilo, overall, wametuheshimisha sana.
 
Kuna baadhi ya wagonbea wametuaibisha sana walivyojibu maswali.

Mfano, kuna mgonbea mmoja wa uMakamu Mwenyekiti Zanzibar aliulizwa falsafa ya CHADEMA ni nini? Akajibu kwa confidence zote "Stronger Together".

Mtu anataka kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hajui tofauti ya falsafa na slogan.

Ila, kiujumka, CHADEMA imetia somo kubwa sana kuonesha jinsi uchaguzi wa kidemokrasia unavyitakuwa juwa, tofauti na upande wa piki ambapo fomu ni moja tu, tena kwa kuvunja katiba.

Kwa hilo, overall, wametuheshimisha sana.
Agiza nakuja kulipa.
 
Wiki iliyo pita walijazana mbumbumbu pale Dodoma wakiongozwa bibi kizimkazi zero brain.
 
Hao wa Juu ndio Wageni wa Mkutano Mkuu wa Chadema, hao wa chini ndio Wageni wa Mkutano wa CCM

IMG-20250121-WA0072.jpg
 
Ccm walijaa bongo movie waimba singeli amapiano machawa tu

Ova
 
Back
Top Bottom