Idadi ya Taasisi za Kimataifa zilizohudhuria Mkutano Mkuu wa Chadema inatisha, Ni rekodi

Idadi ya Taasisi za Kimataifa zilizohudhuria Mkutano Mkuu wa Chadema inatisha, Ni rekodi

Kule Dom mambo yalikuwa tofauti kabisa waalikwa kwa asilimia 90 walikuwa chawa, kunguni, papasi, viroboto na wajingawajinga wengine kibao
Kwa trend ya huku chawa wamekua kilq chama na sasa wameenea hwdi ofisi za umma , binafsi na hata nyumba za ibada
 
Kiukweli waislamu wengi hawaikubali Bakwata.

Amandla...

..Ni kweli.

..lakini Bakwata wako maeneo mengi sana ya nchi yetu.

..nadhani ni busara Chadema kuwafikia wafuasi wa Bakwata hata kama ni wachache.

..sio sahihi kuwaachia Ccm watambe nao jinsi wanavyotaka.
 
19 jan walikuwepo Dodoma? Wazungu hawawezi kuhudhuria kwenye maigiza yale ya Futuhi
IMG-20250121-WA0072.jpg
 
Sisi tulifanya kizalendo zaidi..
Tulialika Wabongo Movie na Wabongo Fleva..
Kwanza watanzania wanyonge wakishiba Dona na Dagaa lao, husikiliza akina Zuchu na kuangalia Juakali.. mambo ya uzungu uzungu hawana...
😂😂😂
IMG-20250121-WA0072.jpg
 
..Ni kweli.

..lakini Bakwata wako maeneo mengi sana ya nchi yetu.

..nadhani ni busara Chadema kuwafikia wafuasi wa Bakwata hata kama ni wachache.

..sio sahihi kuwaachia Ccm watambe nao jinsi wanavyotaka.
Sheikh Ponda anatosha
 
hakuna cha taasisi hapo hao ni marafiki wa TAL kutoka Belgium na wako hapo kwa mualiko wake
 
Kama hao ni Inzi basi wanaenda kwenye Uozo Lakini kama ni nyuki basi kuna kitu wanavuna kupata asali hapo hawaendi kwa hasara.
Labda wamewekeza hata hivyo jumuiya yetu imeweka watu kama cover ku monitor jambo hili ndio maana CDM iliundwa kwa maelekezo ya bani kulu
 
Back
Top Bottom