Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kule hakuna mvutoKama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
View attachment 3209362
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
ushauri wa lowasa akiwa CHADEMA hakumanisha hivyo...aliposema CHADEMA kwasasa inatakiwa kusikika kimataifaHao wamekuja kumsapoti mwenzao mmoja linagombea Uenyekiti
Ni standard norm hata kule walishirikiHili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
View attachment 3209362
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
View attachment 3209362
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
hawakualikwaHili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
View attachment 3209362
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Unaambiwa wameapa kukeshaKwani wapo hadi muda huu?
BAKWATA ni Taasisi ya ccm, ilianzishwa na Julius Nyerere akishirikiana na Paulo Bomani..viongozi gani wa Dini wamehudhuria mkutano.
..upande wa Ccm nilimuona mpaka Mufti wa Bakwata amehudhuria.
Ndio maana Mbowe hawezi kushindwa. Lissu akimshinda kwa kupata kura nyingi zaidi yake atakubali matokeo na kumpongeza. Huo utakuwa mfano wa kuigwa kwa vyama vyote vya siasa ambavyo imani yao ni kuwa kiongozi Mkuu hawezi kushindwa kwenye uchaguzi. Sasa hivi kushindwa kwa kiongozi ni kupata kura chini ya 90%. Akishindwa kura atabakiza heshima yake katika jamii na itakuwa zamu yake kuangalia wenzake watakavyoongoza chama chake. Kwa hilo wote tutamshukuru.Hili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
View attachment 3209362
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
BAKWATA ni Taasisi ya ccm, ilianzishwa na Julius Nyerere akishirikiana na Paulo Bomani
Kule hawaihitaji kuelewa kwa misaada, nimemsikiliza Mnyika kwa miaka mitano misaada ya wahisani ni billion moja tuHili ni jambo lililowashangaza wengi, Idadi ya wajumbe kutoka UN, EU, BALOZI ZA ULAYA na AMERICA, ni rekodi ya Africa.
Ushahidi huu hapa
View attachment 3209362
Kama unabisha nionyeshe watu kama hawa waliohudhuria Uteuzi wa Wassira .
Ni kweli, Japo utafiti wetu unaonyesha kwamba 80% ya Waislam si wanachama wa Bakwata, ila wanaheshimu tu Uislam wao akiwemo Issah Ponda..lakini Bakwata ina wapigakura ambao Chadema lazima iwafikie na kuwashawishi.
..historia ya kuanzishwa kwa Bakwata isiwe kikwazo kwa Chadema kujaribu kuwafikia wafuasi wao.
..pia mienendo ya viongozi wa Bakwata isiwazuie Chadema kuwafikia viongozi hao.