Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ni ongezeko la kina mama waleviNi Kama Movie: Hali Sio Nzuri Kabisa Kuanzia GEN EAC
Nimekuwa Nairobi hapa kati, vijana asubuhi mapema wanakunywa vinywaji vikali, mchana unakutana nao njiani wanaongea wenyewe, aisee.
Haitoshi, hili janga limehamia Tanzania kwa ujumla, hasa mji wa Dar es Salaam.
Hatujakataza kunywa, sema inaumiza sana hivi, sana. Kila ukiamka asubuhi unakuta pub na maduka vimejaa Smart Gin na ile nyingine kali.
Inatia shaka, wapi twaenda? Kwa kweli inaumiza. Hatujakataza wanywe, lakini tunatengeneza taifa la vijana walevi.
Usiniulize na uzinzi, huko sijafika.
Ee Mola, tunusuru wanawako.