Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HII HALI SIKIA KWAMWENZIOO ASIWE NDUGU YAKOOInahuzunisha kakweli tukienda hivi miaka mingine 4 sijui hali itakuwaje nguvu kazi imegeuka kuwa mazombie
Ni kwel Mkuu Ila utakaa sawa🙌AminiMkuu hao matapeli usiwaamini.Halafu nature ya mateso na shida zangu hazitegemei utapeli wa hao
Ni kweli, miaka kadhaa nyuma tulizisikia rombo huko mpakani lakini hivi tunavyozungumza hii tabia imeshamea mpaka ukanda wa Singida bado kidogo itakuwa ni janga la kitaifa, mchelea mwana kulia hulia yeyeHII HALI SIKIA KWAMWENZIOO ASIWE NDUGU YAKOO
WANASEMA KICHAA UTAMCHEKA KAMA ATOKUWA NDUGU YAKO AKIWA WAKO NYOO KAKAA TUOMBE SANA TAIFA LETU NA EAC NZIMA JANGA LA TAIFA HILI
Mkuu nilikuwa huko tkka jnne nimerudi jana aisee darajan na sehemu moja sijui wanaitajee kwishnaaa kabsaaa vjanaBora uko mapombe huku znz mateja wanakula unga mwishowe wanakua machizi
Sijui wanaweka nini kwnye hutwo tupombe mbaya zaidi hawali chakula hiki ndo kinafanya wavimbe mashavu, midomo inaungua mtu muda wote uso unakuwa km kapigwa bomu la machoziPia ninailaumu serikali. Tatizo sio pombe kuuzwa ndani ya ardhi ya 255. Pombe ilikuwepo tangu 80's. Tatizo liliibuka baada ya serikali kuruhusu hivi vikampuni vya kuuza gongo kwenye vichupa. Utu tupombe twa bei chee ndio kumekuja n amasa ya ulevi. Inasikitisha kuwaona vijana wenzangu wamegeuka mazombi. Saivi hadi kwa 500 mtu anapata shot, buku nusu, 2000 ndio kichupa kizima. Sitozitaja parasite kampuni zinazonufaika na hii biashara, ila serikali inatakiwa kujua kuwa faida inayotokana na uuzwaji wa hizo pombe ni ndogo sana tukizingatia hasara taifa inayoipata kutokana na hizi biashara. Saivi ni almost 6/10 ya vijana wanaotoka kwenye familia ya hali ya chini kiuchumi wanatumia hizi pombe. Hata kama serikali yetu inaona inaongoza wajinga ndio maana inatupeleka hobela hobela tu, ila inatakiwa kujitathmini pale wajinga wanapoanza kunong'ona kuwa viongozi wetu wengine ni wajinga kwa kuruhusu vitu vya kishenzi chini ya uongozi wao. Trust me ipo siku. Nyinyi viongozi mnaojiona invisible kwa kuruhusu taifa kuumia namna hii, one day we will hold you all accountable. Halas.
Wafungie hivi vipombe vyao vya ajabu vilivyokuja kwa kasi kama walovyofungia viroba kipindi kile.Ni Kama Movie: Hali Sio Nzuri Kabisa Kuanzia GEN EAC
Nimekuwa Nairobi hapa kati, vijana asubuhi mapema wanakunywa vinywaji vikali, mchana unakutana nao njiani wanaongea wenyewe, aisee.
Haitoshi, hili janga limehamia Tanzania kwa ujumla, hasa mji wa Dar es Salaam.
Hatujakataza kunywa, sema inaumiza sana hivi, sana. Kila ukiamka asubuhi unakuta pub na maduka vimejaa Smart Gin na ile nyingine kali.
Inatia shaka, wapi twaenda? Kwa kweli inaumiza. Hatujakataza wanywe, lakini tunatengeneza taifa la vijana walevi.
Usiniulize na uzinzi, huko sijafika.
Ee Mola, tunusuru wanawako.
Denda kwenye mtaala wa mapenzi Africa haipo... Denda origin yake ni western huko, Huku africa hakuna mambo mengiHawa ndo huwa nawaza, wachumba zao wanawezajee kupeana nao denda, khaaaah
Kwa mtu mwingine😊😊Ini wanatoa wap.
Ni kama simu au kupanda daladala havikuwepo kama umevikubali hata denda ukubali tu hamna namna 😂😂😂Denda kwenye mtaala wa mapenzi Africa haipo... Denda origin yake ni western huko, Huku africa hakuna mambo mengi
we kama unapenda ngono mbona tuja kusimangaNi Kama Movie: Hali Sio Nzuri Kabisa Kuanzia GEN EAC
Nimekuwa Nairobi hapa kati, vijana asubuhi mapema wanakunywa vinywaji vikali, mchana unakutana nao njiani wanaongea wenyewe, aisee.
Haitoshi, hili janga limehamia Tanzania kwa ujumla, hasa mji wa Dar es Salaam.
Hatujakataza kunywa, sema inaumiza sana hivi, sana. Kila ukiamka asubuhi unakuta pub na maduka vimejaa Smart Gin na ile nyingine kali.
Inatia shaka, wapi twaenda? Kwa kweli inaumiza. Hatujakataza wanywe, lakini tunatengeneza taifa la vijana walevi.
Usiniulize na uzinzi, huko sijafika.
Ee Mola, tunusuru wanawako.
Zimefanyajee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa mwamba mbavuzangu
Naona kuandika kwako ni tatizo mzeewakati mwingine tunalalamika hiiizii pombe jaman nilitokea znz majuzi kati pale darajani sijui wameamua kutelekezwa wale vijana ama lah
YYaanmateja kama woteee njenjeee wanaenda sehemu na wanajidunga vila shoboooo..wanauza kwa kiziboo cha soda mzigooo
Nkasema tukilia na hizi pombe kuna ambaoo wanakaribia kufa wakiona watoto zaoo na madawa za kulevya znz na kwingjnekoo
Allah atusaidie tu