Idadi ya Vijana walevi inaongezeka nchini

Idadi ya Vijana walevi inaongezeka nchini

Ni Kama Movie: Hali Sio Nzuri Kabisa Kuanzia GEN EAC

Nimekuwa Nairobi hapa kati, vijana asubuhi mapema wanakunywa vinywaji vikali, mchana unakutana nao njiani wanaongea wenyewe, aisee.

Haitoshi, hili janga limehamia Tanzania kwa ujumla, hasa mji wa Dar es Salaam.

Hatujakataza kunywa, sema inaumiza sana hivi, sana. Kila ukiamka asubuhi unakuta pub na maduka vimejaa Smart Gin na ile nyingine kali.

Inatia shaka, wapi twaenda? Kwa kweli inaumiza. Hatujakataza wanywe, lakini tunatengeneza taifa la vijana walevi.

Usiniulize na uzinzi, huko sijafika.

Ee Mola, tunusuru wanawako.
Tena nasikia siku hizi vijana wanatumia "dubur" zao kulewa.

Majanga.
 
Nimepitia Moshi, jamani huko hakufai. Wachaga wenzangu tuko Dar, tupige maombi.
Kampuni za pombe kali za vikopo kama zimezaliwa kule. Kila aina iko kule, Jogoo, Mtetea, sijui Kiwango, Kiboko, Kikalio, hatari tupu!

Vijana unawaona mtaani usiku, wake zao wanalia, umeme hakuna. Nilienda sehemu nikawakuta jamaa za home wamekaa kikundi, wananunua gongo, wanachanganya na vile vipombe vya plastiki, wanajazia na mbege. Aisee, hatari sana, nilitoa machozi kwa kweli.
  1. Hawali, wakinywa saa nne asubuhi ndoo kimoja.
  2. Usiku umeme umekatika, baadhi ya wake zao huja kufanya kazi home na kugeuka wanalia. Kaka wadogo zako wale wote, hamna kitu, hata upige tarumbeta.
Aisee, niliumia sana. Anyway, Allah atuponye na hili janga.
Iam confused Sasa Allah mbona ndio kaahidi mito ya pombe peponi
 
Acheni vitisho raia urusi huko watu wanashindia vodka na maisha yanaendelea
 
Mabikira 72 na mito ya ngedule na wanzuki na chamu haijaahidiwa na Allah wenu mbona unawakana mudi na.mpwa wake allah subhanau wataala?
Siyo 72, mbona unashusha idadi?

Ni bila ya hesabu. Peponi tena upangiwe hesabu? Haiji.
 
Pia kule Kagera vijana wanalewa sana hali sio shwari kabisa
 
Aisee kwa hili hii hata mimi narudi kwetu kabisa kukaa huko ili nchi ikiwa kama kenya naangali kwenye TV.
 
Ni Kama Movie: Hali Sio Nzuri Kabisa Kuanzia GEN EAC

Nimekuwa Nairobi hapa kati, vijana asubuhi mapema wanakunywa vinywaji vikali, mchana unakutana nao njiani wanaongea wenyewe, aisee.

Haitoshi, hili janga limehamia Tanzania kwa ujumla, hasa mji wa Dar es Salaam.

Hatujakataza kunywa, sema inaumiza sana hivi, sana. Kila ukiamka asubuhi unakuta pub na maduka vimejaa Smart Gin na ile nyingine kali.

Inatia shaka, wapi twaenda? Kwa kweli inaumiza. Hatujakataza wanywe, lakini tunatengeneza taifa la vijana walevi.

Usiniulize na uzinzi, huko sijafika.

Ee Mola, tunusuru wanawako.
Sasa unataka hawa vijana waliosoma wafanyaje, huko serikalini wamejaa viongozi vilaza wasiotaka watu waliosoma kuogopa kuumbuliwa na ndiyo maana viongozi wengi ni wachawi, wanaomba vijana waendelee kuwa walevi, wapenda dini, bongo fleva, na kuwahimiza waendelee kusali na kuwa wapole Mungu anawaona.
 
Sasa wewe unaujuwa Uislam kuliko Muislam?

Biblia unaielewa?
HUo ni uongo ukifa ukafaulu kuingia mbinguni unakunywa mvinyo na kusikiliza nyimbo nzuri nzuri kila mmoja atapewa sura mpya na kusherekea .

sasa hao wanaume upewe ukafanye ngono tena huko jamani ,mbinguni sijasikiaga kwanza sio mwili unaenda mbinguni ni roho na kule hakuna tena kuoana rejea biblia usije ukachekwa bibie
 
Back
Top Bottom