Mara ya mwisho nimekunywa alcohol yoyote ni January 1 2024, gkasi moja ya Champagne ya kusheherekea mwaka mpya.
Sijanywa pombe tena.
Halafu kila siku naziona pombe, nina Scotch Whisky, Tequila Vodka Gin na wine kwenye home mini bar, nina beer kwenye friji la garage.
Lakinisijaona hata kishawishi cha kunywa pombe.
Na niliamua tu kuacha kunywa, sikulazimika.
Miaka ya nyuma nilikuwa naamua kukaa bila kunywa pombe mpaka miaka miwili.
Katika nchi ambayo pressure ya kunywa pombe ni kubwa sana.
Ukiamua kuacha pombe, unaweza.
Lakini pia, ukiamua kunywa pombe, ni haki yako.