Idadi ya Vijana walevi inaongezeka nchini

Mi mwenyewe najisikia amani asubuhi nikishtua kasungura
 
Sababu ni ongezeko la kina mama walevi
 
Hapo Bado ujaongelea kwenye kuharibu figo na maini Kuna daktari mmoja wa Mhimbili nlkua nazungumza nae akawa ananiambia kwa Kila wiki lazima waletwe wagonjwa 7 mpka 10 wa figo na ini hapo muhimbili na wote ukiangalia ni vijana kuanzia 22-35
 
Kunywa Pombe siyo vibaya, kila mtu na raha zake. Lakini ulevi ni tabia mbaya sana inayotakiwa kupiga vita kwenye jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…