Idadi ya wanawake niliopita nao mpaka sasa

Nimetembea na wanawake enzi hizo.


Lakini miaka ya hivi karibun nimesex na wanawake yaani nimepatwa wanauksi za kufa mtu. Yaani unatoka na mwanamke nux na visirani kama vyote
 
Wewe hujui kutumia hiyo bakora yako,wenzio machampioni wanasemaga hivi"nimenyandua wanawake 150,na wanaume 50".
 
Doohhh!!! Hiv kumbe mi mbinguni naingia njia nyeupe kabisaaa.
@35 in May na bado nikiwakusanya woote nilopita nao, kwenye BAJAJI wanakaa vizuri tu. Halaf kwasasa nilishawakataa nimebaki na Yf tu
 
Sio vita wala sio kipimo cha urijali tengeneza mifumo vumbua vitu badilisha jamii ishi na mke wako mmoja utakua umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…