Idadi ya wanawake niliopita nao mpaka sasa

Kutoka kwa mdau!!

" Umri wangu ni miaka 30...!!! Nmebarikiwa kazi nzuri na maisha mazuri

,,Leo nimependa kushea idadi ya wapenzi ...ambao nimewah kuwa nao
Kwa nyakat tofauti tofauti...na kujihusisha nao kimapenzi!!!

Idadi ninayo ikumbuka...vizuri ni wanawakeee kama mia moja na sita ama na saba hivi "

Ila kwa sasa nmeamua kutulia na ninatalaji kufunga ndoa December mwaka huu!!! Na mdada ambaye tayar anamwangangu tumboni

Nina afya njema sana ..na nina mshukuru sana MUNGU sina gonjwa lolote lile!!!

Nnajua hayawahusu ila . Ndo..hvyo ..ni maisha...na...kila mtu anastory yake "
Usijal utapata mke, malaya mmoja wa riverside anapitiwa na wanaume 10 kwa siku sawa na 300+ kwa mwezi sembuse ww
 
Kutoka kwa mdau!!

" Umri wangu ni miaka 30...!!! Nmebarikiwa kazi nzuri na maisha mazuri

,,Leo nimependa kushea idadi ya wapenzi ...ambao nimewah kuwa nao
Kwa nyakat tofauti tofauti...na kujihusisha nao kimapenzi!!!

Idadi ninayo ikumbuka...vizuri ni wanawakeee kama mia moja na sita ama na saba hivi "

Ila kwa sasa nmeamua kutulia na ninatalaji kufunga ndoa December mwaka huu!!! Na mdada ambaye tayar anamwangangu tumboni

Nina afya njema sana ..na nina mshukuru sana MUNGU sina gonjwa lolote lile!!!

Nnajua hayawahusu ila . Ndo..hvyo ..ni maisha...na...kila mtu anastory yake "
hivi madhumuni ya uzi wako ni nini hasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka kwa mdau!!

" Umri wangu ni miaka 30...!!! Nmebarikiwa kazi nzuri na maisha mazuri

,,Leo nimependa kushea idadi ya wapenzi ...ambao nimewah kuwa nao
Kwa nyakat tofauti tofauti...na kujihusisha nao kimapenzi!!!

Idadi ninayo ikumbuka...vizuri ni wanawakeee kama mia moja na sita ama na saba hivi "

Ila kwa sasa nmeamua kutulia na ninatalaji kufunga ndoa December mwaka huu!!! Na mdada ambaye tayar anamwangangu tumboni

Nina afya njema sana ..na nina mshukuru sana MUNGU sina gonjwa lolote lile!!!

Nnajua hayawahusu ila . Ndo..hvyo ..ni maisha...na...kila mtu anastory yake "
Aisee 🤣
Namuonea huruma huyo mke mtarajiwa.
Can u imagine "soul tie"🙌🙌

Heaven Sent
 
Mpimaji mzuri wa "oil ". Ukiangalia tu kwa macho unaweza kujua kiasi cha oil kilichopo.
 
Sasa unajisifia ama? Huyo akiona hii thread yako akajua ni wewe atajisikiaje, haina haja ya kutaja idadi bana, siyo sifa nzuri
Huyu mbona ana afadhali kabisa. Kuna kina Cephas kadhaa nimewahi waona wana counter books zina majina yenu kabisa.
 
Watu tuna demu kila nyumba, kila kanisa, kila Msikiti, kila shule, kila chuo na hatusemi.
 
Back
Top Bottom