Idadi ya wanawake niliopita nao mpaka sasa

Kutoka kwa mdau!!

" Umri wangu ni miaka 30...!!! Nmebarikiwa kazi nzuri na maisha mazuri

,,Leo nimependa kushea idadi ya wapenzi ...ambao nimewah kuwa nao
Kwa nyakat tofauti tofauti...na kujihusisha nao kimapenzi!!!

Idadi ninayo ikumbuka...vizuri ni wanawakeee kama mia moja na sita ama na saba hivi "

Ila kwa sasa nmeamua kutulia na ninatalaji kufunga ndoa December mwaka huu!!! Na mdada ambaye tayar anamwangangu tumboni

Nina afya njema sana ..na nina mshukuru sana MUNGU sina gonjwa lolote lile!!!

Nnajua hayawahusu ila . Ndo..hvyo ..ni maisha...na...kila mtu anastory yake "
Na wote uliopita nao hawapo na weww kiroho safi...

Mkuu jichunguze kama wanakuja kwako kushughulisha viuno au kukamua ndama ya maziwa
 
Kwa huo umri huwezi fikisha. Labda kama unanunua Malaya hapo sawa nakubali, lakin kama ni kutongoza unakaa kwenye mahusiano na demu huwezi fikisha hiyo Idadi ya wanawake.
Kwa Malaya unafikisha chapu tu.
 
Hiyo idadi inajumlisha na malaya ulonunua?
 
Kutoka kwa mdau!!

" Umri wangu ni miaka 30...!!! Nmebarikiwa kazi nzuri na maisha mazuri

,,Leo nimependa kushea idadi ya wapenzi ...ambao nimewah kuwa nao
Kwa nyakat tofauti tofauti...na kujihusisha nao kimapenzi!!!

Idadi ninayo ikumbuka...vizuri ni wanawakeee kama mia moja na sita ama na saba hivi "

Ila kwa sasa nmeamua kutulia na ninatalaji kufunga ndoa December mwaka huu!!! Na mdada ambaye tayar anamwangangu tumboni

Nina afya njema sana ..na nina mshukuru sana MUNGU sina gonjwa lolote lile!!!

Nnajua hayawahusu ila . Ndo..hvyo ..ni maisha...na...kila mtu anastory yake "
Namhurumia sana huyo mwanamke aliyekubali kuishi na wewe. Amechagua MTUMBA third class kabisa!!!
 
Kumbe we newbie kwenye field!

Sijawahi kaa chini nkawaza na sitakaa yaaan niwaze kaanza Nan kafata Nan huo mda bora nivute bangi
Sasa unajua nilimaliza chuo mwaka gani?😂😂😂😂😂ukute ni 2000 huko.

Ewaaaah, cha msingi umeikuta mengine unaachana nayo
 
🤣🤣2000 c ndo ulizaliwa!

Eee yaan tukikutana naassume kama ndo nothing happened, tunaanza upya
 
Back
Top Bottom