Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Hali nchini Tanzania imekuwa mbaya mno Wasimbe wanaongezeka kila kukicha kwa mujibu wa takwimu zilizofanywa huko Africa Kusini katika kila wanawake 10 wasimbe ni 7.
Bado haijajulikana shida hasa ni nini ila kwa mujibu wa wasimbe hao baadhi wanadai walikosa uaminifu huku wengine wakidai tamaa ya pesa ndio chanzo!
N.B Wasimbe wanaanzia miaka 20-30
Limsimbe wanaanzia miaka 30-40 yaani shindikanaa
Kamsimbe ni miaka 20 kurudi chini! Au jina jingine vidigi digi!
Wale wa 40 kuendelea ni wazee ni nadra sana kukuta wanaolewa na kwa asili yetu sisi waafrica huezi oa bibi wa miaka 40 kuendelea labda ule tunda kimasihara!
=====
NOTE: Msimbe ni mwanaume au mwanamke aliyefikia umri wa kuoa au kuolewa lakini hajaoa au kuolewa