Idadi ya Wasimbe Tanzania ni kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika

Idadi ya Wasimbe Tanzania ni kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika

Tunga sentensi nne kwa kutumia neno
Msimbe
1.Msimbe ameliwa kimasihara usiku wa kuamkia jana

2.Mikoa ya Arusha,Dodoma na Singida yaongoza kutoa wasimbe wengi ziadi

3....…….............

4.…..................
 
NOTE: Msimbe ni mwanaume au mwanamke aliyefikia umri wa kuoa au kuolewa lakini hajaoa au kuolewa

Kwa Kisukuma tunaita nsimbe au nshimbe na uwingi wake ni basimbe au bashimbe.

Kwa kawaida hawa ni wanawake ambao wamechelewa sana kuolewa (mf. Halima Mdee na mkewe Esta Bulaya), wameolewa wakaachika au ni singo maza ambao wapo tu hawana waume. Sifa yao kubwa ni kuwa na misambwanda na kutembea na waume za watu lakini pia wanajulikana kwa roho njema, ukarimu na uchapakazi. Na kwa kuwa jamii inaheshimu sana familia kuongozwa na mwanaume, familia ambayo haina mwanaume hujulikana pia kuwa ni kaya ya jishimbe (yaani familia ambayo mambo yake yanakwenda hovyo hovyo tu sababu inaongozwa na msimbe).

Na mwanaume hawezi kuwa msimbe. Ni Sifa ya wanawake pekee. Mwanaume ambaye amechelewa kuoa huitwa nkūlīji
 
Back
Top Bottom