Idadi ya watoto wanaozaliwa kwenye kambi za wakimbizi yahatarisha usalama wa nchi

Idadi ya watoto wanaozaliwa kwenye kambi za wakimbizi yahatarisha usalama wa nchi

Hatua za haraka inabidi zichukuliwe ama sivyo baadae tutajuta,Jamaa wana ukabila balaa,Wakiendelea kuzalisna namna hiyo wanaweza wakatengeneza nchi yao ndani ya Tz.
Tishio la taifa ni WANYARWANDA waliojipenyeza na wanaoendelea kujipenyeza nchini

Kuna wanaojifanya wasukuma, wengine wahaya.

You may be fighting the wrong enemy

Goite
 
Kama hao wakimbizi Ni tishio, na wale waliopewa uraia nao Ni tishio?? Kwasababu wa ni wale wale!

Goite
 
Kama Vipi wapelekwe kwao wote kambi zifungwe zipewe makumbusho


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tishio la taifa ni WANYARWANDA waliojipenyeza na wanaoendelea kujipenyeza nchini

Kuna wanaojifanya wasukuma, wengine wahaya.

You may be fighting the wrong enemy

Goite
Swala ni kuwaangalia tu wawe Wanyaruwanda au Waburundi hao siyo waTz,Kama kupewa wapewe Id zao za kuwatambua.
 
Yaani ningekuwa raisi wa nchi haki ya nani neno wakimbizi mngewasikia redioni.
Hivi hamjiulizi kwa nini Ulaya wanakataa Wakimbizi halafu wanatuhubiria eti tuwapokee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Serikali yetu isipokuwa makini kwa wakimbizi basi Ukabila utainyonya damu hii nchi, time will tell. Hao watu wamekuja na tabia + tamaduni zao hasa ukabila, balaa lake miaka 30 ijayo ni kubwa sana!
 
Kuna haja gani ya kupewa hifadhi ilhali kwenu pako safi.... Serikali iangalie hili... Population growth yetu bado tishio na ya wakimbizi tena...
 
Wakimbizi hawana athari yoyote ile maana wao wanahudumiwa na UNHCR na mashirika mengine ya UN
 
Aisee Serikali yetu isipokuwa makini kwa wakimbizi basi Ukabila utainyonya damu hii nchi, time will tell. Hao watu wamekuja na tabia + tamaduni zao hasa ukabila, balaa lake miaka 30 ijayo ni kubwa sana!
Toka wakimbizi wa Burundi wafike Tanzania Toka 1972 ambapo wengine walishapewa uraia wa Tanzania umeshasikia kesi ngapi za UKABILA??

AU unafyata fyata tu

Goite
 
Toka wakimbizi wa Burundi wafike Tanzania Toka 1972 ambapo wengine walishapewa uraia wa Tanzania umeshasikia kesi ngapi za UKABILA??

AU unafyata fyata tu

Goite
Tanzania haikuwa na WATU WASIOJULIKANA ila now days wametamalaki kila kona unajua chimbuko lao hao watu? They got no fear, they got nothing to loose. Watu wasiojulikana ni product ya wakimbizi, je umeshasikia kesi ngapi za watu wasiojulikana?
 
Wanajua kujaza vyoo,kutiana tiana tu,Kuteka magari,maduka esp. hao wakimbizi wa Burundi,nchi yao iko salama,warudishwe kwao haraka sana.

Wakimbizi wa Congo hata wakiachwa ni poa tu maana wao wanajua kucheza Tomborooooo tu mambo ya kutumia silaha sio mambo yao hayo.

dodge
 
Tanzania haikuwa na WATU WASIOJULIKANA ila now days wametamalaki kila kona unajua chimbuko lao hao watu? They got no fear, they got nothing to loose. Watu wasiojulikana ni product ya wakimbizi, je umeshasikia kesi ngapi za watu wasiojulikana?
Kuna ukweli kiaina flani kwny hii hoja.

dodge
 

Sub-Saharan Africa

The region of Sub-Saharan Africa has the highest birth rate in the world. As of 2016, Niger, Mali, Uganda, Zambia, and Burundi have the highest birth rates in the world.[32] This is part of the fertility-income paradox, as these countries are very poor, and it may seem counter-intuitive for families there to have so many children. The inverse relationship between income and fertility has been termed a demographic-economic "paradox" by the notion that greater means would enable the production of more offspring as suggested by the influential Thomas Malthus.[33]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania haikuwa na WATU WASIOJULIKANA ila now days wametamalaki kila kona unajua chimbuko lao hao watu? They got no fear, they got nothing to loose. Watu wasiojulikana ni product ya wakimbizi, je umeshasikia kesi ngapi za watu wasiojulikana?
Watu wasiojulikana chimbuko lao Ni wakimbizi?? Wakimbizi ndo washindikane kutambulika na TISS?? Waliompiga ridali Lisu Ni wakimbizi? Waliomteka Azori Ni wakimbizi?? Waliomteka Roma Ni wakimbizi??

Goite
 
Back
Top Bottom