Idadi ya watoto wanaozaliwa kwenye kambi za wakimbizi yahatarisha usalama wa nchi

Idadi ya watoto wanaozaliwa kwenye kambi za wakimbizi yahatarisha usalama wa nchi

Watu wasiojulikana chimbuko lao Ni wakimbizi?? Wakimbizi ndo washindikane kutambulika na TISS?? Waliompiga ridali Lisu Ni wakimbizi? Waliomteka Azori Ni wakimbizi?? Waliomteka Roma Ni wakimbizi??

Goite
Wakimbizi wamefanya yote hayo taka usitake. MTanzania mwenye akili timamu hawezi kufanya huo uchizi. Isije ikawa nabishana na mkimbizi hapa anayejitetea asirudishwe kwao.
 
F***k u too kaka. Wakimbizi wamefanya yote hayo taka usitake. MTanzania mwenye akili timamu hawezi kufanya huo uchizi. Isije ikawa nabishana na mkimbizi hapa anayejitetea asirudishwe kwao.
Kama ni hivo (wasiojulikana Ni wakimbizi) basi Tanzania iko mikononi mwa wakimbizi

Goite
 
Kama ni hivo (wasiojulikana Ni wakimbizi) basi Tanzania iko mikononi mwa wakimbizi

Goite
Ukifatilia press za hawa polisi wetu utagundua kuwa wahalifu wengi wanaowakamata hasa majambazi sugu asili yao sio waTanzania halisi, jaribu kuunganisha dots kwa hao wakimbizi wanaoingia mitaani na kufanya majukumu anayofanya raia wa kawaida bila permission. Wasiojulikana ni wakimbizi kaka.
 
Wanatekeleza sera za CCM awamu ya tano kuwa waendelee kufyatua watoto kwa kasi kubwa.
 
Back
Top Bottom