Idadi ya watu wanaonuka midomo inaongezeka kwa kasi Tanzania

Idadi ya watu wanaonuka midomo inaongezeka kwa kasi Tanzania

Kama mtu una tatizo la kunuka mdomo,kunuka kikwapa na matatizo mbalimbali ya kiafya soma kitabu hiki

IMG-20211216-WA0000.jpg
 
Isije kuwa nyie ndo wanuka midomo haiwezekani huko juu eti woote mmekutana na kero hiyo hiyo tu😂😂
 
% kubwa naona mnakubali kuwa kuna tatizo la kunuka mdomo? Inawezekana ni watu walewale manakutanaga mmekutana humu ila hamjuani.
 
Imekuwa zaidi ya ugonjwa unakuta mtu amependeza hasa aila akikusogele kuongea mdomo wake unato hArufu si nzuri
Nashauri elimu itolewe kwa kila namna kuondoa hili tatizo
BP nayo husababisha harufu mdomoni kijana
 
Watumia nicotine kunuka imo tu.wengine uchafu tu,jitu linatafuna kitimoto mbuzi maharage kachumbari k vant,konyagi etc.linarudi kulala bila kupiga mswaki.

Nyama mabaki ya vyakula yamebaki kwenye fizi asubuhi chwachwachwa kaoga kaondoka next day Yale yale.

Lifestyle hiyo usinuke mdomo.
 
Daah nyie watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kinywa hicho hicho kinaenda kulamba masikio na coochie. What do you expect?
 
Huu mwaka kila mtu ni mtafiti
Aisee alafu wote naona nimalalamiko sio solution humu
Anyway katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa kukaa kimya mda mrefu inaweza changia .....

Chamsingi ni kuswaki mara mbili na dawa ya meno ya colgate

angalau tutafunage na bigG tukiwa hatuongei nivizuri kucheki kinywa kila muda
 
Tupende usafi jamani. Mtu unashindwa hata kuongea nae. Mimi huwaga sijifichi nakukwepa huku unaona.
 
Imekuwa zaidi ya ugonjwa unakuta mtu amependeza hasa aila akikusogele kuongea mdomo wake unato hArufu si nzuri
Nashauri elimu itolewe kwa kila namna kuondoa hili tatizo
Inaweza ikawa kivingine. Inaweza ikawa wanaoongezeka ni watu wenye ugonjwa unaitwa ''Hyperosmia'', watu wenye abnormal high sense of smell
 
Back
Top Bottom