Kunuka vikwapa wakerewe na watu wa Bunda hawana mpinzani. Ukianza na yule mcheza shoo ya mauno aliyetuaminisha ni mzalendo wa kweli kumbe mwizi.Siyo kunuka midomo tu!
Na MAKWAPA YANANUKA
sielewi watanzania wanatatizo gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunuka vikwapa wakerewe na watu wa Bunda hawana mpinzani. Ukianza na yule mcheza shoo ya mauno aliyetuaminisha ni mzalendo wa kweli kumbe mwizi.Siyo kunuka midomo tu!
Na MAKWAPA YANANUKA
sielewi watanzania wanatatizo gani
Upo sahihi...mimi nahisi harufu kali sana kooni kwangu...Naloose confidence aisee sijui nifanyejeMtu akifungua mdomo aongee kidogo utadhani amekula kipisi cha nnya kudadadeki [emoji23][emoji23]
Kiukweli elimu ya afya ya kunywa haitolewi kabisa na Hawa dentists hawana hata kampeni za kusaidia watu kuwakumbusha check-up za mara kwa Mara, kuangalia fizi Kama zipo salama, meno, usafi wa koo nk.
Unajua kunywa kutoa harufu kali inaweza kuwa tatizo sio kinywani Bali kwenye Koo au magonjwa ya tumboni au kwenye mfumo wa kupumua daktari wa kinywa anaweza kukuambia hii harufu haitoki kwenye kinywa akakushauri umuone daktari wa Koo nk.
Lakini binafsi nimeshuhudia watu anakaa na mswaki miaka mitano mpaka unajikunja na Bristol's hazisugui meno vizuri kwenye gaps Ila anao tu na Hana mpango wa kubadilisha mpaka ausahau akisafiri ndio atanunua mpya huko.
Mswaki ukipita miezi minne Hadi sita utupe no matter how mzima unaonekana otherwise Kama unaweza uchemshe na maji Moto plus kuulaza kwenye special dawa ya kuua wadudu hapo waweza kukaa nao zaidi napo kama haujaanza kujikunja.
Otherwise tupa tu kwani mswaki shilingi ngapi jamani? Tena hii mingine Mia tano sijui the cheapest au hata Kama umenunua 6000 au 10,000 Ile ya umeme bado haikufanyi ukae nao Kama ndio utazaa mswaki mwingine.
😀😂😂 hapo unajisikia mdomo mzito na meno yamepata layer nyingine ya uchafu😜Nina siku mbili cjapiga mswaki Niko porini
Ahahaha naangaika ila leo nitapiga jioni aisee
Go and consult a physician atakusaidiaUpo sahihi...mimi nahisi harufu kali sana kooni kwangu...Naloose confidence aisee sijui nifanyeje
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kuna post niwahi kuona mtandaoni, jamaa alisema, geuza kiganja chako (palm), ule upande wenye ngozi nyeusi kwa sisi waafrika, kisha lamba hapo kama unalamba icecream(mara moja tu) kisha nusa. Hyo ndo harufu inayotoka kinywani mwako.Kabla sijacomment, je ni namna gani mtu atajijua anatoa harufu mbaya ya kinywa? Wengine hawajui/sijijui harufu wanayoisikia wenzangu ni nzuri au mbaya, tufanyaje tujue harufu zetu?
Thank you for sharing, nitajaribu hiiKuna post niwahi kuona mtandaoni, jamaa alisema, geuza kiganja chako (palm), ule upande wenye ngozi nyeusi kwa sisi waafrika, kisha lamba hapo kama unalamba icecream(mara moja tu) kisha nusa. Hyo ndo harufu inayotoka kinywani mwako.
As usual, no research no right to speak, sina research ya kubackup hii claim, but its worth a try. 🤷🏾♂️
Sinuki[emoji4][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna post niwahi kuona mtandaoni, jamaa alisema, geuza kiganja chako (palm), ule upande wenye ngozi nyeusi kwa sisi waafrika, kisha lamba hapo kama unalamba icecream(mara moja tu) kisha nusa. Hyo ndo harufu inayotoka kinywani mwako.
As usual, no research no right to speak, sina research ya kubackup hii claim, but its worth a try. [emoji2377]
Kabla sijacomment, je ni namna gani mtu atajijua anatoa harufu mbaya ya kinywa? Wengine hawajui/sijijui harufu wanayoisikia wenzangu ni nzuri au mbaya, tufanyaje tujue harufu zetu?
🤣🤣🤣🤣Sinuki[emoji4][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16][emoji16]