Idadi ya watu wanaonuka midomo inaongezeka kwa kasi Tanzania

Idadi ya watu wanaonuka midomo inaongezeka kwa kasi Tanzania

Ndio maana jusi nimenyimwa denda nikakumbuka kuwa sikupiga mswaki demit
 
Kinywa utasafisha kama ifuatavo utachukua dawa ya meno unayopenda au uliyoshauriwa binafsi nina aina kama tano za dawa za meno hua natumia. 1. Sensodyne 2. RED 3. Dabur herbs 4. Colgate maxfresh na 5. Aqua fresh dawa hizo hua natumia kwa nyakati tofauti kulingana na wakati na nafasi lakini pia natumia Listerin Mouth wash ni muhimu japo mara mbili au tatu kwa wiki.
 
Kitu kingine jitahidi kujisaidia haja kubwa kwa wakati au muda tu unapohisi kwani ile gesi ikijaa hutafuta sehemu ya kutokea ambapo ni kinywani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Okay ngoja nami nichangie mara nyingi harufu hiyo mbaya ya mdogo ni matokeo ya volatile sulfur inayozalishwa na na Bakteria nyuma ya mdomo(kooni)wanapokuwa wanachakata zaidi vyakula vya protini sasa wale waliochangia Kwa kusema unalamba mkono ni kwamba huo mchanganyiko wa sulfur na mate yako yakikauka yanaacha hyo sulfur na ndoharufu unayoisikia hapo mkononi mwako.
 
Kinywa utasafisha kama ifuatavo utachukua dawa ya meno unayopenda au uliyoshauriwa binafsi nina aina kama tano za dawa za meno hua natumia. 1. Sensodyne 2. RED 3. Dabur herbs 4. Colgate maxfresh na 5. Aqua fresh dawa hizo hua natumia kwa nyakati tofauti kulingana na wakati na nafasi lakini pia natumia Listerin Mouth wash ni muhimu japo mara mbili au tatu kwa wiki.
Dabur the best ever!!!
 
Imekuwa zaidi ya ugonjwa unakuta mtu amependeza hasa aila akikusogele kuongea mdomo wake unato harufu si nzuri.

Nashauri elimu itolewe kwa kila namna kuondoa hili tatizo.
Omba asikupakie bodaboda wa hivyo
 
Basi utachukua kikombe chako, au utaelekea kwenye sink hapa tuelezane lazima uwe na maji mengi kwa uchache lita moja, basi utatia dawa yako katika mswaki kiwango cha kuridhisha utaanza kusafisha kinywa meno pande zote, ukuta wa juu na ukuta wa chini, fizi lakini pia toa ulimi kwa nje safisha ulimi hadi uwe msafi kabisa, unaweza kutema povu hilo, unaweza kuweka dawa kidogo tena katika mswaki na kuanza tena kusafisha kama mwanzo basi utatema povu lile, halafu utatakiwa kukosha mswaki wako, baadae weka maji mdomoni tema, weka tena maji mengine mdomoni anza kupitisha na mswaki bila dawa ili kuondoa shombo ya dawa, maana mwingine ataswaki lakini kinywa kinanuka dawa ya meno tu, hivo utamaliza kwa kuweka maji ya mwisho kusuuza kinywa chako vizuri, unaweza usafishe ulimi kwa mswaki lakini kama unayo tongue wash utatumia pia, lakini pia kati na jino na jino kuna uzi maalumu unapitisha kuondoa mabaki ya chakula maana kule mswaki haufiki kwani meno yamebanana sana. Hapo taratibu za usafi wa kinywa kwa ufupi unakua umemaliza
 
Nyongeza kwa kuoga kwa sisi wanaume, hakikisha kwanza unazingazitia kuoga vizuri na uhakikishe unapitisha kama sabuni maeneo kama katikati ya mapaja, kusafisha pumbu, kusafisha vizuri masikio kwa ustadi, kupitisha sabuni na kusafisha tundu za pua nazo hua zinanuka, lakini kusafisha vidole hasa katikati ya vidole na usivae kiatu bila kufuta miguu ikakauka vizuri maana miguu ikiwa na unyevu ukaweka soksi na kiatu lile joto litalotokea hapo ni lakimataifa, kama una low cut unaweza usipake mafuta nywele zako sana, ukawa unaoshea shampoo tu wakati wa kuoga then unatana utakaa poa kabisa, makwapani kuna mtu kalalamika hapo jitahidi kwanza shaver zako za Dorco ziwe zinapita walau kwa wiki mara moja , then tumia deodorant na kwa wale wanaonuka kabisa jitahidi ukishaoga wakati wa kulala kausha kwapa then kata kipande cha limao usugue kwapa lako uhakikishe hujanyoa muda huo maana utawashwa hadi ukome, yes kingine ukioga basi jitahidi hata kama haujajisaidia ile kubwa unatawaza, maana tumekariri ukiingia bafuni kama hujashusha mzigo hutawazi hapana sii usafu, mwisho taulo zako tatu zinatosha na boksa zako saba kila siku na boksa yake, hutonuka kamwe
 
Dabur the best ever!!!

Like this
IMG_0099.jpg
 
Washauri watumie Hydrogen peroxide mouth wash au Listerine solution kwa ajili ya kusukutua na kumaliza harufu hizo.

Tembelea Duka la Dawa lililokaribu ukainue uchumi wa nchi
Usisahau kama hydrogen peroxde ni sumu. Kupanga ninkuchagua
 
Kunuka mdomo ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
Siku moja nitakuja na uzi maalum kwaajili ya ugonjwa wa kunuka mdomo(HALITOSIS)
 
Kuna pisi moja ni kali kichizi ila mdomo sasa daaah.

Huwa najiuliza shida huwa ni nini?? Mtoto kavaa kapendeza lakini mdomo una harufu!!

Mdomo ukiwa unatema si unajihisi tu, usiposwaki si unahisi tu utando kwenye meno yako. Inakuaje mtu haswaki mpaka mdomo unatema.!?
 
Back
Top Bottom