Tetesi: Idara kuwa 6 na Vitengo 2 tu

Tetesi: Idara kuwa 6 na Vitengo 2 tu

Hakuna mtu atapoteza ajira bali wata hamishiwa kwenye vitengo vingine? Hivi unajua sheria za utumishi wa Umma? Kama mgelikuwa mna msikiliza waziri wa tamisemi bungeni wala msingalisema haya hili jambo halikuanza kuongelewa leo!
Hilo bunge wewe unasikilizia wapi au mwenzetu ni mbunge?
 
Kuna tetesi kuwa kutakuwa na mabadiliko ya Idara na Vitengo katika Halmashauri za Wilaya,Miji na Manisipaa.
Idara zitakuwa ni
1.Utawala,Mipango na Fedha
2.Majengo,Mitambo,Miundombinu na Maji
3.Maliasili,Ardhi,Nyuki na Mazingira
4.Afya,Usafi na Ustawi wa Jamii
5.Elimu
6.Kilimo,Mifugo,Umwagiliaji na Ushirika

VITENGO NI
1.Sheria
2.Ukaguzi wa Ndani
Hili jambo ni jema kwa kiasi fulani maana hadi sasa Idara na Vitengo Ndani za Halmashauri za Wilaya na Miji zilikuwa zaidi ya 18
kwa sasa kutakuwa na Wakuu wa Idara 6 na Vitengo 2 Jumla 8.

Tukichukulia kwa Dhana ya Kupunguza Matumizi (Mishahara) ina maana Wakuu wa Idara na Vitengo 12 katika kila Halmashauri za Wilaya,Miji,Manisipaa lazima Wapigwe chini. Hii inamanisha ktk halmashauri 185@12=2,220x 3,400,000 tutaokoa Tshs 7,548,000,000 kwa mwezi
Swali la msingi ni kuwa MISHAHARA YA HAWA WAKUU WA IDARA NA VITENGO ITASHUSHWA?? NA KUREJEA KWENYE MISHAHARA YA MUUNDO WA VYEO VYAO VYA AWALI KABLA YA UTEUZI WAO???
Na kama ikiwa Hivyo Itabidi kanuni na Taratibu zinazohusu mishashara ya Mfanyakazi inabidi zivunjwe!!
Na kama wataendelea kulipwa Mishahara yao ya Million 3.4 kutakuwa na maana gani ya kupunganisha hizi idara??
 
mbona siioni Idara ya maendeleo ya Jamii?au imefutwa?
mtatuua na pressure jamani,wengine walikopea mishahara iyo kwenye mabenki.
Uuuui magufuri tusamehee,subiri ata miaka5wengine karibu tunastafu.
 
Naona Magufuri ameanza kutabirika na siri zake zimeanza kutoka nje kabla hazijawa
 
Hizi tetesi zako kajazie nyama ili tetesi ikamilike.baadhi ya idara hujaonesha zimeunganishwa wapi.
 
Hizi tetesi zako kajazie nyama ili tetesi ikamilike.baadhi ya idara hujaonesha zimeunganishwa wapi.
kwani lazima ziunganishwe inawezekana zimefutwa,kwani ustawi wa jamii ina tofauti gani na maendeleo ya jamii
 
kwani lazima ziunganishwe inawezekana zimefutwa,kwani ustawi wa jamii ina tofauti gani na maendeleo ya jamii
mleta mada tunakushukuru kwa kuleta hii tetesi,lakini nenda ukajifunze tofauti kati ya ustawi wa Jamii na maendeleo ya jamii
 
Watapoteza Ajira wapi? Nenda Jiji la Nyamagana Kitengo cha ugavi na maeneo mengine kwa ndani ujionee vidada vya 50-50 na V ijana wa mtepesho wanachati na hata ya Ilemera hivyo hivyo je Mkoa mzima? Magu komaa nao wapungue hakuna namna nchi iende
Jiji la nyamagana!?
 
Mkuu, P.A.Y.E utapoteza lakini utaifidia kwa kuokoa fedha nyingi iliyokuwa inatumika kuwalipa hawa watumishi wa hizo idara nyingi zisizo na tija. Waliokuwa wakuu wa idara zitakazofutwa ni sawa kuwapangia kazi nyingine au hata kuwapunguza kazi. Kuwalipa kwa kazi isiyoonekana ni mbaya zaidi kiuchumi. Na ndiyo maana tuna deni la taifa kubwa. Serikali haiwezi kuwa mwajiri wa kilamtu. Changamoto kwa serikali ni kukuza private sector, itoe ajira. Kwa miaka mingi sana serikali yetu imekuwa inatumia fedha ambazo kimsingi haina. Na ndiyo maana tuna madeni na umaskini umeendelea kutamalaki. It is time to break the circle of poverty. Tumecheza sana mduara kwenye huu wimbo wa umaskini. Kwa hili nitaiunga mkono serikali. Seriously, kuna watumishi serikalini wamekuwa wanafika ofisini wanalipwa mishahara na posho kwa kazi zisizoonekana. This needs to stop.
kwa mfano kipindi kile cha nyuma et kulikuwa na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum.
 
kwani lazima ziunganishwe inawezekana zimefutwa,kwani ustawi wa jamii ina tofauti gani na maendeleo ya jamii
Hivi kwa mfano ufute kitengo cha manunuzi ndo kusema huko halmashauri watakuwa hawafanyi manunuzi?
 
Hivi kwa mfano ufute kitengo cha manunuzi ndo kusema huko halmashauri watakuwa hawafanyi manunuzi?
kabla manunuzi hakijawa kitengo rasmi kulikuwa na nini??? si watu wa fedha ndio walikuwa wanafanya hizo kazi
 
mleta mada tunakushukuru kwa kuleta hii tetesi,lakini nenda ukajifunze tofauti kati ya ustawi wa Jamii na maendeleo ya jamii
tofauti unaiweka ww kutokana na mtazamo wako wa hayo maneno mawili,kwani jamii ikisha kuwa na maendeleo si ndio kusitawi huko au ww undhanije??
 
Ambalo sielewi ni kama idara ziliziunganishwa ziko chini ya wizara moja. Naona inaweza kuwepo ugumu kiutendaji iwapo idara zilizounganishwa zinashughulika na masuala ambayo yako chini ya wizara tofauti.
 
tofauti unaiweka ww kutokana na mtazamo wako wa hayo maneno mawili,kwani jamii ikisha kuwa na maendeleo si ndio kusitawi huko au ww undhanije??

sio kwamba hakuna uhusiano kati ya ustawi wa Jamii na maendeleo na Jamii,uhusiano upo.
nilichokuomba ni kwenda ujifunze tofauti kati ya ustawi wa Jamii na maendeleo ya Jamii,utuletee mlejesho apa.
 
Sioni kilichobadilika hapo, katika hizo idara 6, naona nyingi zimeungwa ili kupata majina marefu, mfano Idara namba 6 kilimo, mifugo, umwagiliaji na ushirika, siamini kama mtendaji mkuu atakuwa mmoja, hapo ni sawa na wizara moja makatibu wa tatu, akili ni ile ile ila aliyewaza ndo tofauti.
 
Kufikirika huwaga kunaweza kukageuka kuwa kusadikika
Ndio mkuu lakini juzi kati nilipita Morogoro kabla ya Msamvu kutokea Bwawani kuna eneo nimeliona limeandika kwamba ni la viwanda na #hapakazitu. Nilitaka nishuke kwenye bodaboda niingie kuomba kazi lakini sikuona kiwanda bali majirani wakasema 'mchakato umeshaanza'.
 
Sioni kilichobadilika hapo, katika hizo idara 6, naona nyingi zimeungwa ili kupata majina marefu, mfano Idara namba 6 kilimo, mifugo, umwagiliaji na ushirika, siamini kama mtendaji mkuu atakuwa mmoja, hapo ni sawa na wizara moja makatibu wa tatu, akili ni ile ile ila aliyewaza ndo tofauti.
aisee, unanikumbusha jinsi baraza la mawaziri lilivyopunguzwa, maana makatibu wakuu huwezi kuwaita mawaziri!
 
NI JAMBO ZURI SANA HAKIKA TUMEMPATA RAIS HASWAA ANAYETUFAA WATANZANIA HEKO NA PONGEZI KWA SEREKALI AWAMU YA TANO,HEKO RAIS MAGUFULI,MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU
 
Ndio mkuu lakini juzi kati nilipita Morogoro kabla ya Msamvu kutokea Bwawani kuna eneo nimeliona limeandika kwamba ni la viwanda na #hapakazitu. Nilitaka nishuke kwenye bodaboda niingie kuomba kazi lakini sikuona kiwanda bali majirani wakasema 'mchakato umeshaanza'.
Hivyo viwanda tulitakiwa tuanze kujihakikishia umeme kwanza... labda kama PAWA BENKI ZITAHUSIKA... ahahahahaha
 
Back
Top Bottom