Nani aliyesema hawajafukuzwa kazi...?Nani aliyekwambia hao wamefukuzwa kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani aliyesema hawajafukuzwa kazi...?Nani aliyekwambia hao wamefukuzwa kazi?
nimeipenda approach yako ya kuunga mkono hoja na kutoa mapendekezo. Ila nahisi itakuwa na mchanganyiko mkubwa sana na kutishia upatikanaji wa tija, maana Ardhi, kilimo,mazingira,mifugoMaliasili na ushirika ni tofauti sana unless uwezeshaji uwe mkubwa wa kutosha vinginevyo mkuu wa Idara atakuwa msalabani.
Kama ni kweli, hilo ni wazo zuri. Nimekaa huko wilayani na kuona mengi yenye mapungufu. Hivyo, kwa ajili ya ufanisi na uharaka, kama ningeulizwa, ningependekeza idara TANO zifuatazo katika Halmashauri zetu:
1.Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
2.Idara ya Elimu, Utamaduni na Michezo.
3. Idara ya Itikadi, Utawala, Fedha na Mipango.
4. Idara ya Oikonomia (yaani Uchumi), ikijumuisha Maliasili, Mazingira, Kilimo, Mifugo, na Ushirika.
5. Idara ya Ujenzi wa Miundombinu ya barabara, maji na makazi.
Idara tano tu zinatosha, kila moja ikiwa na vitengo vyake. Tuzikumbuke kwa msaada wa vokali za A-E-I-O-U, yaani: Afya, Elimu, Itikadi, Oikonomia na Ujenzi.
Mchana mwema.
Mkuu sifurahii ila ninaandika kutokana na uhalisia wa jambo maana lengo leo la serikali kufanya hvyo ni kupunguza matumizi
Ajira zisizo na tija au duplication of functions wapi na wapi?! Kama ni wewe ungekuwa mlipaji wa mishahara na marupurupu hayo ungekubali kulipa kisa watu wabakie kwenye ajira for the sake of it?! Tafakari.watu wengi watapoteza ajira ila wewe unafurahi eti unabana matumizi
hii nchi tunakwenda wapi ?
Serikali ilifanya maboresho ili kupata hizo Idara na vitengo, labda kama ilikosea itatueleza wakati ukifika. Lakini aliyeandika hii sidhani kama anataka kuisaidia serikali iboreshe shughuli zake. Kwani kuokoa Fedha tafsiri yake ni nini? Serikali kulipa mishahara mizuri wafanyakazi wake inakuwa inapoteza Fedha? Objectivity katika meseji zetu ni Muhimu sana. Watumishi hawa wengi wao ni Watanzania na wanachangamoto nyingi katika kutoa huduma kwa wananchi wetu. Tuisaidie serikali kutatua changamoto za watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi ili waweze kutoa huduma bora na kwa wakati kwa wananchi wetu.Kuna tetesi kuwa kutakuwa na mabadiliko ya Idara na Vitengo katika Halmashauri za Wilaya,Miji na Manisipaa.
Idara zitakuwa ni
1.Utawala,Mipango na Fedha
2.Majengo,Mitambo,Miundombinu na Maji
3.Maliasili,Ardhi,Nyuki na Mazingira
4.Afya,Usafi na Ustawi wa Jamii
5.Elimu
6.Kilimo,Mifugo,Umwagiliaji na Ushirika
VITENGO NI
1.Sheria
2.Ukaguzi wa Ndani
Hili jambo ni jema kwa kiasi fulani maana hadi sasa Idara na Vitengo Ndani za Halmashauri za Wilaya na Miji zilikuwa zaidi ya 18
kwa sasa kutakuwa na Wakuu wa Idara 6 na Vitengo 2 Jumla 8.
Tukichukulia kwa Dhana ya Kupunguza Matumizi (Mishahara) ina maana Wakuu wa Idara na Vitengo 12 katika kila Halmashauri za Wilaya,Miji,Manisipaa lazima Wapigwe chini. Hii inamanisha ktk halmashauri 185@12=2,220x 3,400,000 tutaokoa Tshs 7,548,000,000 kwa mwezi
Swali la msingi ni kuwa MISHAHARA YA HAWA WAKUU WA IDARA NA VITENGO ITASHUSHWA?? NA KUREJEA KWENYE MISHAHARA YA MUUNDO WA VYEO VYAO VYA AWALI KABLA YA UTEUZI WAO???
Na kama ikiwa Hivyo Itabidi kanuni na Taratibu zinazohusu mishashara ya Mfanyakazi inabidi zivunjwe!!
Na kama wataendelea kulipwa Mishahara yao ya Million 3.4 kutakuwa na maana gani ya kupunganisha hizi idara??
Ndugu hizi bado ni tetesi tangu mwaka juzi!!Naunga mkono maamuzi haya!
ila tatizo ni kujifungia na kuja na haya maamuzi badala ya kuyafanya kuw ashirikishi kila mtu achangie then muamue.
Utekelezaji utafuata; serikali haina harakaNdugu hizi bado ni tetesi tangu mwaka juzi!!
Utekelezaji utafuata; serikali haina harakaNdugu hizi bado ni tetesi tangu mwaka juzi!!
Utekelezaji utafuata; serikali haina harakaNdugu hizi bado ni tetesi tangu mwaka juzi!!