Ila Simba na Yanga wakimbadilishia uraia mchezaji chap anapewa hati ndani ya muda mfupi
Hawataki watu watoke ndani ya Nchi.Mbona muda mrefu hivyo, wanataka rushwa au nini? Bora hata ingekuwa mwezi mmoja tu ingetosha
Ccm na disciples zake hawaja wahi kuwa na akiliDuh inasikitisha sana. Na unalipia Tzs 150,000. Wakitoa passport 1000 kwa siku nchi nzima wanapata Tzs 150,000,000 hawaoni mapato yapo nje nje au gharama za kutengeneza zinazidi Tzs 150,000?
Mkuu avatar yako imenikumbusha mbali.Mkono Mtu Haulambwi Mkuu!
Wanapaswa watoe passport hata Milioni 10 ili wapate pesaDuh inasikitisha sana. Na unalipia Tzs 150,000. Wakitoa passport 1000 kwa siku nchi nzima wanapata Tzs 150,000,000 hawaoni mapato yapo nje nje au gharama za kutengeneza zinazidi Tzs 150,000?
KabisaMkono Mtu Haulambwi Mkuu!