Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi

Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi

Waeleze na namna misingi ya kisheria kupata Uraia wa Tanzania ilivyozingatiwa.
 
Bongo patamu sana but we indigenous tuna pazarau mno.

ukiona foreigner anaomba uraia, unatakiwa uji proud kuwa mbongo land.

Tunatakiwa tuwa pongeze kwa kufuata rules and regulations za nchi.

Karibuni sana
 
Ninavyofahamu maombi ya uraia wa Tanzania anatakiwa kuomba mhusika mwenyewe.
Pili anayetoa uraia wa Tanzania ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na siyo Kamishna Jenerali wa Uhamiaji. Sasa hawa Simba (kama hii barua imetoka kwao) hawana mwanasheria awasaidie kuwaleza kuhusu utaratibu wa kisheria wa kuomba uraia wa Tanzania? Au wamesukumwa na mihemko tu.
Huyu mtu mmemtoa wapi mbona anaandika pumba? Hakuna watu wanaowajua ndugu zake waje wachukue?
 
Kwa hiyo hatuna haja ya kuwa na idara ya uhamiaji , hivyo mtu yeyote aruhusiwe kuwa raia wa TZ kisa tuna maeneo ya kutosha? Yaani unafikiri itaishia Kwa timu za mpira tu ikiwa itakuwa rahisi tu kuwa raia wa hii nchi. Kwa hiyo na wale wakimbizi wawe wanapewa uraia kisa tuna maeneo ya kutosha?
 
Ufaransa kama una kipaji unapewa tu uraia hawana noma. Ukiwa mkimbizi kama huna kipaji au kitu special ni ngumu kupata uraia.
 
TAARIFA KWA UMMA​
Idara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizochapishwa na kujadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari kuhusu kupatiwa uraia wa Tanzania wachezaji watatu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Singida Black Stars.

Wachezaji wanaotajwa kwenye taarifa hizo ni kama ifuatavyo:-
1.Emmanuel Kwame Keyekeh (Ghana),
2.Josephat Arthur Bada (Cote d'Ivoire), na
3. Muhamed Damaro Camara (Guinea).

Wachezaji tajwa waliomba na kupewa uraia kwa mujibu wa vifungu vya 9 na 23 vya Sheria ya Uraia ya Tanzania, Sura ya 357.

Kwa muktadha huo, Idara ya Uhamiaji inapenda kuutaarifu Umma kuwa watajwa ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi.

Imetolewa na;
SSI. Paul J. Mselle
MSEMAJI MKUU WA IDARA YA UHAMIAJI

Soma pia: Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni

Hii ni taarifa ya kuthibitisha tetesi sio ufafanuzi
 
Diaspora ya watanzania nao wafanyiwe wepesi wapewe haki maalum kutokana na nasaba na nchi
 
Kumbe unaweza kuwa raia wa Ghana asubuhi na jioni ukawa raia wa Tanzania kumbe mambo ni marais namna hiyo kumbe sisi maraia ndio tunacomplicate mambo
Hakika hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Una kitu gani special cha kuwa offer? Hao wamepewa uraia kwasababu wana vipaji vya mpira wanaweza kulisaidia taifa kwenye CHAN au AFCON. Wewe je whachu yu gati meni?
 
Una kitu gani special cha kuwa offer? Hao wamepewa uraia kwasababu wana vipaji vya mpira wanaweza kulisaidia taifa kwenye CHAN au AFCON. Wewe je whachu yu gati meni?
Kwa sheria gani hao wachezaji watachezea taifa stars unazijua sheria za FIFA zinasemaje kuhusu wachezaji waliopewa uraia
Nilifikiri wajinga wanapungua kumbe mnazidi kuongezeka.
 
Kwani kuwa raia kunawasaidiq nini katika uchezqji wao mpira?

Hao wameipenda Tanzania wanatakankununua ardhi na kujenga.
Wacha wape1e tu uraia, sioni tatizo kama hawajakiuka sheria.
Nakuunga mkono da fei
 
Kwa sheria gani hao wachezaji watachezea taifa stars unazijua sheria za FIFA zinasemaje kuhusu wachezaji waliopewa uraia
Nilifikiri wajinga wanapungua kumbe mnazidi kuongezeka.
FIFA wanasema ni miaka 5 ndo unaruhusiwa kucheza si ndio? bada na damaro wana 22 so watatusaidia 2030.

Uraia unaweza kupewa under certain special case bila masharti mfano una kipaji au utaalamu uliotukuka kuhusiana na nyanja fulani na waziri mwenye dhamana.

Elimu
Elimu
Elimu
Elimu
Elimu
Elimu
Elimu
 
Kwa sheria gani hao wachezaji watachezea taifa stars unazijua sheria za FIFA zinasemaje kuhusu wachezaji waliopewa uraia
Nilifikiri wajinga wanapungua kumbe mnazidi kuongezeka.
Wewe ni standard 7, kama unavyojiita na hata akili zako zinafanana na jina lako standard 7.
 
Ngoja nikupuuzie tu, ili maisha yaendelee. Endapo utajibu hii, mimi sitakujibu chochote tena kuhusu hili.
Kumbuka: Mtu yeyote anayetanguliza matusi na maneno ya kuudhi anapojenga hoja yake........lazima kutakuwa na walakini kwenye akili yake.
🤣🤣🤣 matus yako wap n ivi ili uwe raia watanzania n lazma uwe umeish ndan ya nch kwa miaka 7 mpaka kumi sawa bhana, na nch yeyote dunian inalinda ajira ya wazawa kwanza cha pili kupewa uraia wachezazaj wa sngda black stars je wana umri gan, serikal imepoteza kodi kians gan smba nao wamekuja et na wachezaji 9 wanaitaji uraia was was wetu nkwamba nch yetu isje ikwa kila raia wakgen akija anaitaji uraia yasje tokea kama SA au uko ulaya na hata marekani wimbi la waamiaji inaowasumbua
 
Kuna mademu wengi wazuri huko Rwanda na Ethiopia waletwe wapewe uraia
 
Back
Top Bottom