Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ.
Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha.
Vijana wa UVCCM hupenda kuwatisha watu kuwa wao ni watumishi wa TISS huku hata kula kwao ni kwa shida.
Mwalimu mmoja nilimchapia mke wake akanitishia kuwa yeye ni mjeshi ataninyoosha. Niliishia kucheka. Mbona mwalimu ni mtu wa hadhi kuliko mwanajeshi lakini jamaa anakataa kazi yake na kijifanya mjeshi.
Kitu gani cha maana kiko huko TISS?
U special wao uko wapi ikiwa Taifa linaingizwa kwenye mikataba ya kifedhuli kila siku?
Magufuli amevunja mikataba mingapi na kampuni za kimataifa?
Wakati inasainiwa hao TISS ambao mnawaona so special walikuwa wapi?.
Kijana mmoja fundi magari kashikwa na trafiki kwa kuendesha gari hovyo akasema yeye ni usalama. Hivi vijana nani kawaroga?