Idara ya Usalama (TISS) na Jeshi la Wananchi (TPDF) vinatukuzwa sana

Ila kiukweli kuna Raha yake kuwa mjeda ila uwe ni Afisa ...hapo utafurahia ujeda wako..

Ila sio bega tupu wazee wa kufyeka nyasi
Ila katika field siyo kama unavyofikiria ni majukumu mazito ogopa sana kutoa amri kwa watu ambao morali ya kupigana imekata.
 
Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ.
Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha.
Vijana wa UVCCM hupenda kuwatisha watu kuwa wao ni watumishi wa TISS huku hata kula kwao ni kwa shida.
Mwalimu mmoja nilimchapia mke wake akanitishia kuwa yeye ni mjeshi ataninyoosha. Niliishia kucheka. Mbona mwalimu ni mtu wa hadhi kuliko mwanajeshi lakini jamaa anakataa kazi yake na kijifanya mjeshi.
Kitu gani cha maana kiko huko TISS?
U special wao uko wapi ikiwa Taifa linaingizwa kwenye mikataba ya kifedhuli kila siku?
Magufuli amevunja mikataba mingapi na kampuni za kimataifa?
Wakati inasainiwa hao TISS ambao mnawaona so special walikuwa wapi?.
Kijana mmoja fundi magari kashikwa na trafiki kwa kuendesha gari hovyo akasema yeye ni usalama. Hivi vijana nani kawaroga?
Ubabe na kutaka uwoga utawale watu. Wao wajeda wanalishwa ego yao so wanajisikia Kama wako juu ya wengine. So wanafanya kazi kwa kujazwa upepo hewa ni Kama demu unamjaza sifa huku unamla Ila ukishamtumia ukamaliza hamu zako hana value ,cheki hao jamaa wakishastaafu wanatesekaje huku walikuwa wanajazwa mara wewe mzalendo pigania taifa lako.
Huku watawala wakila kwa mrija kuku
 
Huyo mwalimu mwenye maisha mazuri kuliko mwanajeshi na polisi uliyemwongelea ni mwalimu huyuhuyu wa Tanzania ambaye anatembea Kwa miguu na ndala zimetoboka kwenye kisigino au mwalimu yupi?kama ni mwalimu wa chuo kikuu hapo sawa.
 
Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ.
Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha.
Vijana wa UVCCM hupenda kuwatisha watu kuwa wao ni watumishi wa TISS huku hata kula kwao ni kwa shida.
Mwalimu mmoja nilimchapia mke wake akanitishia kuwa yeye ni mjeshi ataninyoosha. Niliishia kucheka. Mbona mwalimu ni mtu wa hadhi kuliko mwanajeshi lakini jamaa anakataa kazi yake na kijifanya mjeshi.
Kitu gani cha maana kiko huko TISS?
U special wao uko wapi ikiwa Taifa linaingizwa kwenye mikataba ya kifedhuli kila siku?
Magufuli amevunja mikataba mingapi na kampuni za kimataifa?
Wakati inasainiwa hao TISS ambao mnawaona so special walikuwa wapi?.
Kijana mmoja fundi magari kashikwa na trafiki kwa kuendesha gari hovyo akasema yeye ni usalama. Hivi vijana nani kawaroga?
Inaonekana na wewe unawatukuza TISS kijanjajanja!
 
Ni rahisi kukiuka haki, kupewa upendeleo, kuheshimika, kuogopwa n.k while nchi za ulaya wanajeshi wale makomando kuwajua ni mtihani, wanakula , kunywa na kuvaa na raia bila wasiwasi kabisa.

Tanzania mtu akiwa askari polisi, magereza, usalama, jeshi n.k atataka mtaa mzima ujue kuwa yeye ni nani.
 
Poor mentality
 
Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ.
Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha.
Vijana wa UVCCM hupenda kuwatisha watu kuwa wao ni watumishi wa TISS huku hata kula kwao ni kwa shida.
Mwalimu mmoja nilimchapia mke wake akanitishia kuwa yeye ni mjeshi ataninyoosha. Niliishia kucheka. Mbona mwalimu ni mtu wa hadhi kuliko mwanajeshi lakini jamaa anakataa kazi yake na kijifanya mjeshi.
Kitu gani cha maana kiko huko TISS?
U special wao uko wapi ikiwa Taifa linaingizwa kwenye mikataba ya kifedhuli kila siku?
Magufuli amevunja mikataba mingapi na kampuni za kimataifa?
Wakati inasainiwa hao TISS ambao mnawaona so special walikuwa wapi?.
Kijana mmoja fundi magari kashikwa na trafiki kwa kuendesha gari hovyo akasema yeye ni usalama. Hivi vijana nani kawaroga?
Ni ushamba wa Watanzania kiasi kwamba hao watu wanajiknaga nao wako Juu ya sheria wakati si kweli.

Kina nyundo waliponzwa na huo ujinga
 
Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ.
Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha.
Vijana wa UVCCM hupenda kuwatisha watu kuwa wao ni watumishi wa TISS huku hata kula kwao ni kwa shida.
Mwalimu mmoja nilimchapia mke wake akanitishia kuwa yeye ni mjeshi ataninyoosha. Niliishia kucheka. Mbona mwalimu ni mtu wa hadhi kuliko mwanajeshi lakini jamaa anakataa kazi yake na kijifanya mjeshi.
Kitu gani cha maana kiko huko TISS?
U special wao uko wapi ikiwa Taifa linaingizwa kwenye mikataba ya kifedhuli kila siku?
Magufuli amevunja mikataba mingapi na kampuni za kimataifa?
Wakati inasainiwa hao TISS ambao mnawaona so special walikuwa wapi?.
Kijana mmoja fundi magari kashikwa na trafiki kwa kuendesha gari hovyo akasema yeye ni usalama. Hivi vijana nani kawaroga?
🤣🤣🤣 hapo ulipo sema et mwalimu wakibongo n anahadhi kuliko mwanajeshi bx nkajua tu wee unachangamoto ya afya ya akili
 
Mimi si mwalimu ila ifahamike ualimu ni taaluma. Unaweza kwenda nchi yoyote na taaluma yako na ukaajirika huko .
Ila uanajeshi si taaluma, uanajeshi unakuwa taaluma nchini kwako tu ukivuka mpaka si taaluma tena unatazamwa kama gaidi na mtu hatari labda usafiri kikazi.
Ni taaluma ya wenye akili finyu.
 
Mtoa mada.usisahau hii nchi ilikuwa ya kijamaa na chama kimoja kimeshika hatamu ina.maana ni police and military state.

Hivyo basi vyombo vya ulinzi hayati Julius aliviweka viwe prime kwenye kila kitu ili kutawala vizuri. Hivyo hata maslahi na mazingira.yao ya.kazi yalikuwa bora.zaidi. hilo wingu linaendelea mpaka pale tutakapopata katiba mpya na dira ya maendeleo inayolingana na.matakwa ya katiba mpya.

Ni ndoto tu.za vijana wanaokuwa kupenda kazi za usalama na.jeshi na.ni.haki yao. Pengine kutokana.na movies za kijeshi.wanazoangalia. wakiona ma FBI special agent wamekula masuti kama jongwe wanadhani ni uhalisia kumbe sio kweli. Au.wakiona mark whalberg kwenye shooter anavyo improvise wanadhani ukiwa mjeda maisha halisi ndio.yako hivyo. Ni utoto tu wakikia.wataacha
 
Mimi si mwalimu ila ifahamike ualimu ni taaluma. Unaweza kwenda nchi yoyote na taaluma yako na ukaajirika huko .
Ila uanajeshi si taaluma, uanajeshi unakuwa taaluma nchini kwako tu ukivuka mpaka si taaluma tena unatazamwa kama gaidi na mtu hatari labda usafiri kikazi.
Ni taaluma ya wenye akili finyu.
Utasemaje taaluma ya wny akili finyu,wakat jeshin kuna madaktar, wahalimu, kuna uchafu wote dunian unaijua ww ipo uko technology ndy usseme sasa ndy maana dunian taass ya kijeshi inakuwa na nguvu kubwa na ntegemez.
 
Ni
Ni uoga tu wa maisha na mawazo ya kuajiriwa. Kun watu nina uhakika wanapata mafunzo ya kupigana na kuingia vitani huko vikosini lakini ikija vita nchi hii haohao watakimbia, pamoja na mafunzo yao
Mkuu suala la kukimbia vita ni suala mtambuka linalohitaji mada yake, kwa sababu limebeba mambo mengi sana.
Mnyororo wake ukiwa unaanzia kwa wanasiasa, aina ya vita hivyo, maslahi binafsi, uzalendo nk nk.
 
Mtu nweusi tu kuendekeza ujinga ndo shangwe kwake. Kuna wanajeshi hapa mbagala kambi ya mbagala kuu wanatusumbua kila siku kana kwamba wao ndo watanzania halisi na sisi nyani tu. Vijana wadogo mda wote wamefura. Sisi tunawsubiria kwenye vita tu tuwaon3 kama hizo bange zao zitawsaidia
 
Zitawasaidia wapi?

Huko ni kutokujitambua na over expectations walizojaza vichwani mwao juu ya kazi hiyo.

Hakuna vita unaweza shinda ukiwa na bifu na raia, utaangamizwa.

Labda mkuu niseme tu kuwa aina ya askari unaowaona wakiwa namna hiyo, elewa kuwa hao bado ni 'training soldiers', nasi tulipitia huko huko, ni ujana/ujinga bado unawasumbua.

Ukitaka kuona wanavyotia huruma, buruza mmoja mahakamani halafu mng'ang'anie, ndiyo utajua kuwa hakuna chochote wanachojua zaidi ya kutia huruma, ni watoto ama utoto bado unawasumbua.
 
Back
Top Bottom