little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Ila katika field siyo kama unavyofikiria ni majukumu mazito ogopa sana kutoa amri kwa watu ambao morali ya kupigana imekata.Ila kiukweli kuna Raha yake kuwa mjeda ila uwe ni Afisa ...hapo utafurahia ujeda wako..
Ila sio bega tupu wazee wa kufyeka nyasi
Ubabe na kutaka uwoga utawale watu. Wao wajeda wanalishwa ego yao so wanajisikia Kama wako juu ya wengine. So wanafanya kazi kwa kujazwa upepo hewa ni Kama demu unamjaza sifa huku unamla Ila ukishamtumia ukamaliza hamu zako hana value ,cheki hao jamaa wakishastaafu wanatesekaje huku walikuwa wanajazwa mara wewe mzalendo pigania taifa lako.Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ.
Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha.
Vijana wa UVCCM hupenda kuwatisha watu kuwa wao ni watumishi wa TISS huku hata kula kwao ni kwa shida.
Mwalimu mmoja nilimchapia mke wake akanitishia kuwa yeye ni mjeshi ataninyoosha. Niliishia kucheka. Mbona mwalimu ni mtu wa hadhi kuliko mwanajeshi lakini jamaa anakataa kazi yake na kijifanya mjeshi.
Kitu gani cha maana kiko huko TISS?
U special wao uko wapi ikiwa Taifa linaingizwa kwenye mikataba ya kifedhuli kila siku?
Magufuli amevunja mikataba mingapi na kampuni za kimataifa?
Wakati inasainiwa hao TISS ambao mnawaona so special walikuwa wapi?.
Kijana mmoja fundi magari kashikwa na trafiki kwa kuendesha gari hovyo akasema yeye ni usalama. Hivi vijana nani kawaroga?
Inaonekana na wewe unawatukuza TISS kijanjajanja!Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ.
Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha.
Vijana wa UVCCM hupenda kuwatisha watu kuwa wao ni watumishi wa TISS huku hata kula kwao ni kwa shida.
Mwalimu mmoja nilimchapia mke wake akanitishia kuwa yeye ni mjeshi ataninyoosha. Niliishia kucheka. Mbona mwalimu ni mtu wa hadhi kuliko mwanajeshi lakini jamaa anakataa kazi yake na kijifanya mjeshi.
Kitu gani cha maana kiko huko TISS?
U special wao uko wapi ikiwa Taifa linaingizwa kwenye mikataba ya kifedhuli kila siku?
Magufuli amevunja mikataba mingapi na kampuni za kimataifa?
Wakati inasainiwa hao TISS ambao mnawaona so special walikuwa wapi?.
Kijana mmoja fundi magari kashikwa na trafiki kwa kuendesha gari hovyo akasema yeye ni usalama. Hivi vijana nani kawaroga?
Poor mentalityNi rahisi kukiuka haki, kupewa upendeleo, kuheshimika, kuogopwa n.k while nchi za ulaya wanajeshi wale makomando kuwajua ni mtihani, wanakula , kunywa na kuvaa na raia bila wasiwasi kabisa.
Tanzania mtu akiwa askari polisi, magereza, usalama, jeshi n.k atataka mtaa mzima ujue kuwa yeye ni nani.
Ni ushamba wa Watanzania kiasi kwamba hao watu wanajiknaga nao wako Juu ya sheria wakati si kweli.Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ.
Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha.
Vijana wa UVCCM hupenda kuwatisha watu kuwa wao ni watumishi wa TISS huku hata kula kwao ni kwa shida.
Mwalimu mmoja nilimchapia mke wake akanitishia kuwa yeye ni mjeshi ataninyoosha. Niliishia kucheka. Mbona mwalimu ni mtu wa hadhi kuliko mwanajeshi lakini jamaa anakataa kazi yake na kijifanya mjeshi.
Kitu gani cha maana kiko huko TISS?
U special wao uko wapi ikiwa Taifa linaingizwa kwenye mikataba ya kifedhuli kila siku?
Magufuli amevunja mikataba mingapi na kampuni za kimataifa?
Wakati inasainiwa hao TISS ambao mnawaona so special walikuwa wapi?.
Kijana mmoja fundi magari kashikwa na trafiki kwa kuendesha gari hovyo akasema yeye ni usalama. Hivi vijana nani kawaroga?
🤣🤣🤣 hapo ulipo sema et mwalimu wakibongo n anahadhi kuliko mwanajeshi bx nkajua tu wee unachangamoto ya afya ya akiliSijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ.
Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha.
Vijana wa UVCCM hupenda kuwatisha watu kuwa wao ni watumishi wa TISS huku hata kula kwao ni kwa shida.
Mwalimu mmoja nilimchapia mke wake akanitishia kuwa yeye ni mjeshi ataninyoosha. Niliishia kucheka. Mbona mwalimu ni mtu wa hadhi kuliko mwanajeshi lakini jamaa anakataa kazi yake na kijifanya mjeshi.
Kitu gani cha maana kiko huko TISS?
U special wao uko wapi ikiwa Taifa linaingizwa kwenye mikataba ya kifedhuli kila siku?
Magufuli amevunja mikataba mingapi na kampuni za kimataifa?
Wakati inasainiwa hao TISS ambao mnawaona so special walikuwa wapi?.
Kijana mmoja fundi magari kashikwa na trafiki kwa kuendesha gari hovyo akasema yeye ni usalama. Hivi vijana nani kawaroga?
Mimi si mwalimu ila ifahamike ualimu ni taaluma. Unaweza kwenda nchi yoyote na taaluma yako na ukaajirika huko .🤣🤣🤣 hapo ulipo sema et mwalimu wakibongo n anahadhi kuliko mwanajeshi bx nkajua tu wee unachangamoto ya afya ya akili
Utasemaje taaluma ya wny akili finyu,wakat jeshin kuna madaktar, wahalimu, kuna uchafu wote dunian unaijua ww ipo uko technology ndy usseme sasa ndy maana dunian taass ya kijeshi inakuwa na nguvu kubwa na ntegemez.Mimi si mwalimu ila ifahamike ualimu ni taaluma. Unaweza kwenda nchi yoyote na taaluma yako na ukaajirika huko .
Ila uanajeshi si taaluma, uanajeshi unakuwa taaluma nchini kwako tu ukivuka mpaka si taaluma tena unatazamwa kama gaidi na mtu hatari labda usafiri kikazi.
Ni taaluma ya wenye akili finyu.
Mkuu suala la kukimbia vita ni suala mtambuka linalohitaji mada yake, kwa sababu limebeba mambo mengi sana.Ni
Ni uoga tu wa maisha na mawazo ya kuajiriwa. Kun watu nina uhakika wanapata mafunzo ya kupigana na kuingia vitani huko vikosini lakini ikija vita nchi hii haohao watakimbia, pamoja na mafunzo yao
Mtu nweusi tu kuendekeza ujinga ndo shangwe kwake. Kuna wanajeshi hapa mbagala kambi ya mbagala kuu wanatusumbua kila siku kana kwamba wao ndo watanzania halisi na sisi nyani tu. Vijana wadogo mda wote wamefura. Sisi tunawsubiria kwenye vita tu tuwaon3 kama hizo bange zao zitawsaidiaMkuu suala la kukimbia vita ni suala mtambuka linalohitaji mada yake, kwa sababu limebeba mambo mengi sana.
Mnyororo wake ukiwa unaanzia kwa wanasiasa, aina ya vita hivyo, maslahi binafsi, uzalendo nk nk.
Zitawasaidia wapi?Mtu nweusi tu kuendekeza ujinga ndo shangwe kwake. Kuna wanajeshi hapa mbagala kambi ya mbagala kuu wanatusumbua kila siku kana kwamba wao ndo watanzania halisi na sisi nyani tu. Vijana wadogo mda wote wamefura. Sisi tunawsubiria kwenye vita tu tuwaon3 kama hizo bange zao zitawsaidia