Piolisi hawatakiwi kupiga wakati wowote katika kazi yao.
Kitu kama hiki hakuna kabisa na wala si sehemu ya suluhu.
"suluhu ya raia wanaokosea machoni pa Polisi wetu si KUPIGWA TU!:"
Tumekuchoka pleaseMojawapo ya taasisi ambazo binafsi naamini zimechangia sana kuwepo na kutamalaki kwa utawala wa kifisadi ni Idara hii; kuchangia kwake hasa ni kutokana na mfumo na muundo wake wa kisheria lakini pia kutokana na uongozi wake kutokuja katika karne ya ishirini na moja. Tangu 1996 sheria ya idara hii ilipoundwa hakujafanyika mabadiliko yoyote ya maana ya kisheria kiasi kwamba sheria hii iko nyuma karibu miaka ishirini sasa na hali halisi ya changamoto za masuala ya kiinteligensia.
Matukio mbalimbali ambayo yametokea hadi hivi sasa yanathibitisha tu kuwa wakati wa kutumbua uongozi wa idara hii umefika.
MMM
Sijaelewa kwahiyo wa kutumbuliwa ni uongozi mfumo wa taasisi?Mojawapo ya taasisi ambazo binafsi naamini zimechangia sana kuwepo na kutamalaki kwa utawala wa kifisadi ni Idara hii; kuchangia kwake hasa ni kutokana na mfumo na muundo wake wa kisheria lakini pia kutokana na uongozi wake kutokuja katika karne ya ishirini na moja. Tangu 1996 sheria ya idara hii ilipoundwa hakujafanyika mabadiliko yoyote ya maana ya kisheria kiasi kwamba sheria hii iko nyuma karibu miaka ishirini sasa na hali halisi ya changamoto za masuala ya kiinteligensia.
Matukio mbalimbali ambayo yametokea hadi hivi sasa yanathibitisha tu kuwa wakati wa kutumbua uongozi wa idara hii umefika.
MMM
Povu jingi..mtoa mada kapiga Pentagon hahaaaaUpuuzi mtupu, kama huna cha kuandika hata kusoma post za wenzako inatosha kuliko kuleta upuuzi
Tanzania Intelligence Security Service Hao ndo tunawaita Usalama wa Taifa Mdau.Kwani TISS ni nini? Mnaojua tafadhali mtusaidie