beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
TAKUKURU Mkoa wa Mara imepokea Malalamiko 139 ndani ya miezi mitatu (Januari - Machi 2022), na Idara zilizolalamikiwa zaidi ni pamoja na TAMISEMI (58), Mahakama (15), Elimu (14), Ardhi (13) na Afya (12)
Katika Malalamiko hayo, 106 yalihusu Vitendo vya Rushwa na mengine 33 hayakuhusiana na Rushwa
Kwa Wakazi wa Mara, ni kinapelekea Malalamiko kuwa mengi katika Idara zilizotajwa? Ni kero zipi zinawasumbua zaidi Wananchi?