Wakuzuia ni UNO. Wao kazi yao kuangamiza adui na anaangamia kweli.
Ijumaa mubarak
Tulia we boya mpakatweLipumbavu hili Hammas la Tumbi hata alichoandika hajui,
huku analalamika huku anasifu.
Kashashiba biriyani
Sasa Mama yako nani atampiga ukuni?View attachment 2876529
View attachment 2876530
olewa tu na muisrael roho yako itulie
kila siku uzi kuhusu israel[emoji3]
Huu mfano mbona wa kipuunguani.
Nyie kobazi ndo mmekalia ukuni toka tar 8 ni kula fimbo tu dadeki.Tulia we boya mpakatwe
Unatoa mfano wa JWTZ kuwa ndiyo Hamas?..Huo ndio ukweli.
..sema hutaki kuusikia.
..Mbona Waafrika waliweza kukomboa Msumbiji, Angola, Zimbabwe, Namibia, na Afrika Kusini?
Sawa basi kunywa maji ya kutosha usije pata presha ukajifia bure kizembe zembeKijana wakati mi babaako mkubwa,uwe na adabu
Unamuonea wivu jamaa? 🤔View attachment 2876529
View attachment 2876530
olewa tu na muisrael roho yako itulie
kila siku uzi kuhusu israel[emoji3]
Unatoa mfano wa JWTZ kuwa ndiyo Hamas?
Hamas hawaruhusiwi kuwa na silaha yeyote wala kuagiza ndiyo maana wanaitwa wanamgambo..
fighter jets za Israel F-15, F-16 na F-35. zinashusha mabomu Gaza unataka Hamas aziangushe na mawe? Huenda hufahamu Gaza ilivyo ndiyo maana unatoa mfano wa JWTZ ambao wamaweza kununua silaha nchi yeyote bila tatizo.
Gaza kila kitu kikiingia kwa ndege kwa meli lazima Israel wakague na wamepigwa marufuku kutengeneza silaha hayo maroketi unayoona wanashambulia wametengeneza kienyeji ndiyo maana nikakuambia mfano wako wa kipunguani unasena kwa nini Hamas wasizue vifo
Alafu vita iwe Tanzania v/s USA. dogo acha upumbafu..Tanzania ikivamiwa na wanawake na watoto wakianza kuuwawa mwenye jukumu la kuwatetea atakuwa ni Jwtz.
..Hamas ndio "jwtz" ya Wapalestina hivyo ulinzi wa wanawake na watoto wakati wa vita ni la kwao.
Sema Bamkubwa nimeleta kombe la maji upooze koo.Sawa basi kunywa maji ya kutosha usije pata presha ukajifia bure kizembe zembe
Hao wote unaowataja wote walipata misaada Hamas anapambana bila msaad ndiyo maana unaona mwezi wa 4 sasa jeshi la Israel pamoja na msaada mkubwa wa Marekani, Uingereza hawajaweza kuwamaliza..unapotaka kukomboa nchi haupaswi kunung'unika na kulalamika.
..hata Wareno, na Makaburu, walikuwa na silaha nzito zaidi ya wapigania uhuru lakini mwisho wa siku UHURU ulipatikana.
Alafu vita iwe Tanzania v/s USA. dogo acha upumbafu
Hao wote unaowataja wote walipata misaada Hamas anapambana bila msaad ndiyo maana unaona mwezi wa 4 sasa jeshi la Israel pamoja na msaada mkubwa wa Marekani, Uingereza hawajaweza kuwamaliza
hamas zaidi ya wao kuuliwa na zadi ya wanajeshi 4000 wamepata vilema vya maisha. Leo hii wenyewe ndiyo wanakimbia Gaza hawa ndiyo Hamas.
Hasira zao wanarusho mabomu kuuwa watoto na wanawake wakiamini kuwa raia watawachukia Hamas ndiyo kwanza kila mpenda haki duniani ni Hamas.
Vita vya Tanzania na Uganda unafanisha vipi na Palestina na israel😀..sasa Hamas ana mpango gani na Israel baada ya kuwafurumusha Gaza?
..Jwtz baada ya kumfurumusha Idi Amini toka Kagera tuliamua kumfurumusha hata ndani ya Uganda.
Hamas wanatengeneza makombora yao HAPA Gaza. Hongera mkuu kwa kutuletea habari moja kwa moja kutoka Gaza.Naona unajitoa ufahamu Hamas hawana makombora ya kutungua ndege, Hamas, hawana Chopa, Hamas hawana msaada wowote kusema wanapewa silaha Hamas wanatengeneza makombora yao hapa Gaza kama Tabata au Gerezezani wanapambana na mataifa makubwa yenye nguvu na silaha Marekani, Israel, Canada, Ufaransa. Ujerumani.
Uongo wako hautarudisha maisha yanayopotea huko gazaWanaukumbi
IDF ilipoteza udhibiti kamili kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa All -Qassam.
Kaskazini ilikuwa chini ya udhibiti wa Hamas kila wakati, habari za uongo kuhusu ushindi kutoka kwa Waisraeli zinashangaza wakati ukweli unapikwa kila siku, hakuna lengo moja muhimu la kijeshi la Israel lililofikiwa katika kampeni yao dhidi ya Gaza, siyo kaskazini au kusini.
Labda kuuwa watoto, wanawake waandishi wa habari kuvunja majengo.