IDF ilipoteza udhibiti kamili Kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa Al -Qassam

Wakuzuia ni UNO. Wao kazi yao kuangamiza adui na anaangamia kweli.
Ijumaa mubarak

..Tanzania ikivamiwa na wanawake na watoto wakianza kuuwawa mwenye jukumu la kuwatetea atakuwa ni Jwtz.

..Hamas ndio "jwtz" ya Wapalestina hivyo ulinzi wa wanawake na watoto wakati wa vita ni la kwao.
 
Huu mfano mbona wa kipuunguani.

..Huo ndio ukweli.

..sema hutaki kuusikia.

..Mbona Waafrika waliweza kukomboa Msumbiji, Angola, Zimbabwe, Namibia, na Afrika Kusini?
 
Unatoa mfano wa JWTZ kuwa ndiyo Hamas?
Hamas hawaruhusiwi kuwa na silaha yeyote wala kuagiza ndiyo maana wanaitwa wanamgambo..

fighter jets za Israel F-15, F-16 na F-35. zinashusha mabomu Gaza unataka Hamas aziangushe na mawe? Huenda hufahamu Gaza ilivyo ndiyo maana unatoa mfano wa JWTZ ambao wamaweza kununua silaha nchi yeyote bila tatizo.

Gaza kila kitu kikiingia kwa ndege kwa meli lazima Israel wakague na wamepigwa marufuku kutengeneza silaha hayo maroketi unayoona wanashambulia wametengeneza kienyeji ndiyo maana nikakuambia mfano wako wa kipunguani unasena kwa nini Hamas wasizue vifo
 
..unapotaka kukomboa nchi haupaswi kunung'unika na kulalamika.

..hata Wareno, na Makaburu, walikuwa na silaha nzito zaidi ya wapigania uhuru lakini mwisho wa siku UHURU ulipatikana.
 
..Tanzania ikivamiwa na wanawake na watoto wakianza kuuwawa mwenye jukumu la kuwatetea atakuwa ni Jwtz.

..Hamas ndio "jwtz" ya Wapalestina hivyo ulinzi wa wanawake na watoto wakati wa vita ni la kwao.
Alafu vita iwe Tanzania v/s USA. dogo acha upumbafu
 
..unapotaka kukomboa nchi haupaswi kunung'unika na kulalamika.

..hata Wareno, na Makaburu, walikuwa na silaha nzito zaidi ya wapigania uhuru lakini mwisho wa siku UHURU ulipatikana.
Hao wote unaowataja wote walipata misaada Hamas anapambana bila msaad ndiyo maana unaona mwezi wa 4 sasa jeshi la Israel pamoja na msaada mkubwa wa Marekani, Uingereza hawajaweza kuwamaliza
hamas zaidi ya wao kuuliwa na zadi ya wanajeshi 4000 wamepata vilema vya maisha. Leo hii wenyewe ndiyo wanakimbia Gaza hawa ndiyo Hamas.

Hasira zao wanarusho mabomu kuuwa watoto na wanawake wakiamini kuwa raia watawachukia Hamas ndiyo kwanza kila mpenda haki duniani ni Hamas.
 
..sasa Hamas ana mpango gani na Israel baada ya kuwafurumusha Gaza?

..Jwtz baada ya kumfurumusha Idi Amini toka Kagera tuliamua kumfurumusha hata ndani ya Uganda.
 
Vita vya Tanzania na Uganda unafanisha vipi na Palestina na israel😀

Hamas na Wapelestina mpango wao ni kupata taifa lao na kukomboa ardhi yao.
 
Naona unajitoa ufahamu Hamas hawana makombora ya kutungua ndege, Hamas, hawana Chopa, Hamas hawana msaada wowote kusema wanapewa silaha Hamas wanatengeneza makombora yao hapa Gaza kama Tabata au Gerezezani wanapambana na mataifa makubwa yenye nguvu na silaha Marekani, Israel, Canada, Ufaransa. Ujerumani.
Hamas wanatengeneza makombora yao HAPA Gaza. Hongera mkuu kwa kutuletea habari moja kwa moja kutoka Gaza.
 
Wanaukumbi

IDF ilipoteza udhibiti kamili kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa All -Qassam.

Kaskazini ilikuwa chini ya udhibiti wa Hamas kila wakati, habari za uongo kuhusu ushindi kutoka kwa Waisraeli zinashangaza wakati ukweli unapikwa kila siku, hakuna lengo moja muhimu la kijeshi la Israel lililofikiwa katika kampeni yao dhidi ya Gaza, siyo kaskazini au kusini.

Labda kuuwa watoto, wanawake waandishi wa habari kuvunja majengo.

Uongo wako hautarudisha maisha yanayopotea huko gaza
 
Back
Top Bottom