IDF inakaribia kuandaa tangazo kwamba Iran haitaweza tena kufadhili ugaidi kwa miaka 200 ijayo

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years"

Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran.

Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya nyuklia.

Viwanda vya silaha pamoja na maghala yote yataangamizwa. Hawa viongozi waliopo hawatakuwepo tena.

Hapatakuwa tena na kitisho kutoka Tehran.
 
Eheehh!! Au ndio maana wameanza kusambaza uzushi kuwa wayahud wanatumia majini kwenye military na intelligence operations?? Isije kuwa kuna kitubkiko staged?!
 
Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years"

Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran.

Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya nyuklia.

Viwanda vya silaha pamoja na maghala yote yataangamizwa. Hawa viongozi waliopo hawatakuwepo tena.

Hapatakuwa tena na kitisho kutoka Tehran.
Hivi ninyi vijana huwa mnashiba kande ama nini!??
Do you even know capabilities of Iran!??
 
"Jasusi" kutoka kantalamba....
Nimecheka sana... hata wanaosapoti vita na kupinga ugaidi lazima wacheke... mkwara wa mleta mada.. hatupendi uongo uliopitiliza. Nimeona Netanyahu kaongea ila sio hivyo amesama Wairan watakuwa huru mapema kuliko wanavyofikilia.. atastand na Raia wa Iran
 
Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years"

Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran.

Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya nyuklia.

Viwanda vya silaha pamoja na maghala yote yataangamizwa. Hawa viongozi waliopo hawatakuwepo tena.

Hapatakuwa tena na kitisho kutoka Tehran.
Hivi Israel anatumia askari wake huko Gaza na Lebanon au anapata support kutoka nchi za nje? Mana huku Hamas, kule Hezbollah, kule Houth. Ina maana haogopi kuvamiwa kwa wakati mmoja na hayo makundi au anajiamini nini? Hivi ni kweli hawa jamaa yale yaliyoandikwa kwenye Biblia ni kweli kwamba hawapigiki?
 
Kuuliwa kwa viongozi wake ni kipimo cha udhaifu wa kiulinzi mkuu.
Kiongozi gani wa Iran aliuliwa na Israel!??
Kama unamsemea Ebrahim Raisi futa hilo.
Pia ni rahisi Israel kufanya assassination attempts ndani ya Iran kwasababu Iran kuna wayahudi takriban laki nane kama raia wa Iran.
Hivyo ni rahisi kupandikiza jasusi.
Tofautisha mauaji ya kijasusi na vita kamili.
Vita kamili ina mambo mengi.
 
Hivi Israel anatumia askari wake huko Gaza na Lebanon au anapata support kutoka nchi za nje? Mana huku Hamas, kule Hezbollah, kule Houth. Ina maana haogopi kuvamiwa kwa wakati mmoja na hayo makundi au anajiamini nini? Hivi ni kweli hawa jamaa yale yaliyoandikwa kwenye Biblia ni kweli kwamba hawapigiki?
Kinachozuia Israel asivamiwe na USA na EU.
ISrael amefanikiwa sana kuunda uhusiano mzuri na wababe wa dunia.
Hivyo analindwa na wababe wa dunia ambao wana sauti duniani.
Hilo ndilo linalomlinda.
 
Iran vs Israel ni sawa na Man city kucheza na Yanga au Simba. Israel najitegemea kwa technologia lakini Iran technology bado yuko chini sana, anazidiwa na Turkey na Saud Arabia,, Pakstan, South Korea, Indian. Nashangaa mpaka South Afrika anazidi Iran technology, Iran silaha nyingi nanunua toka nje na wakati Israel anatengeneza. Nchi zenye kuitisha Israel ni USA, Rusia China. USA na Rusia wakikaa vibaya Israel inaweza kuvuruga nchi hizo kupitia propaganda na technology, China ndoa yuko salama kwa sababu kule hakuna wayahudi kama ilivyo USA na Rusia na Ulaya nzima.
 
Nasubiri nione Netanyahu akitangaza Ushindi.
 
Hivi ninyi vijana huwa mnashiba kande ama nini!??
Do you even know capabilities of Iran!??
Siku chache zilizopita mlikuwa mnawasifia hizbola lakini wote tunajua hatma yao ni nini.

Iran itapotezwa kama alivyosema Neta.
 
Back
Top Bottom