Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
😃😃😃😃😃"Jasusi" kutoka kantalamba....
Hivi ninyi vijana huwa mnashiba kande ama nini!??Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years"
Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran.
Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya nyuklia.
Viwanda vya silaha pamoja na maghala yote yataangamizwa. Hawa viongozi waliopo hawatakuwepo tena.
Hapatakuwa tena na kitisho kutoka Tehran.
Nimecheka sana... hata wanaosapoti vita na kupinga ugaidi lazima wacheke... mkwara wa mleta mada.. hatupendi uongo uliopitiliza. Nimeona Netanyahu kaongea ila sio hivyo amesama Wairan watakuwa huru mapema kuliko wanavyofikilia.. atastand na Raia wa Iran"Jasusi" kutoka kantalamba....
Kuuliwa kwa viongozi wake ni kipimo cha udhaifu wa kiulinzi mkuu.Hivi ninyi vijana huwa mnashiba kande ama nini!??
Do you even know capabilities of Iran!??
Hivi Israel anatumia askari wake huko Gaza na Lebanon au anapata support kutoka nchi za nje? Mana huku Hamas, kule Hezbollah, kule Houth. Ina maana haogopi kuvamiwa kwa wakati mmoja na hayo makundi au anajiamini nini? Hivi ni kweli hawa jamaa yale yaliyoandikwa kwenye Biblia ni kweli kwamba hawapigiki?Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years"
Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran.
Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya nyuklia.
Viwanda vya silaha pamoja na maghala yote yataangamizwa. Hawa viongozi waliopo hawatakuwepo tena.
Hapatakuwa tena na kitisho kutoka Tehran.
Kiongozi gani wa Iran aliuliwa na Israel!??Kuuliwa kwa viongozi wake ni kipimo cha udhaifu wa kiulinzi mkuu.
Kinachozuia Israel asivamiwe na USA na EU.Hivi Israel anatumia askari wake huko Gaza na Lebanon au anapata support kutoka nchi za nje? Mana huku Hamas, kule Hezbollah, kule Houth. Ina maana haogopi kuvamiwa kwa wakati mmoja na hayo makundi au anajiamini nini? Hivi ni kweli hawa jamaa yale yaliyoandikwa kwenye Biblia ni kweli kwamba hawapigiki?
Siku chache zilizopita mlikuwa mnawasifia hizbola lakini wote tunajua hatma yao ni nini.Hivi ninyi vijana huwa mnashiba kande ama nini!??
Do you even know capabilities of Iran!??