IDF inaripotiwa kuingia Lebanon

Mavi yao wavuke kwenda Lebanon.

Mnanikumbusha ile nyimbo ya US na UK kuwashambulia Al Houth oh tume zivunja silaha za Al Houth 😄 sa America na Uingereza wamewaingiza nchi za Europe kwenye matatizo sana wanakosa Gas ya Qatar na Gas ya Mrusi 😄
 
Kama ni kweli wameyatimba.
Wasije kutana na sekeseke la 2006 wakakimbia nz kuacha vifaru Lebanon students wasomee history.
Maana Hizbollah sio hamas.
 
Wiki kama tatu Hizbolah walikusanya makomandoo wao zaidi ya 2000 na kuwaambia wakae tayari. Vita nyingine inaenda kutokea mda wowote kinanuka na hii US ataingilia hatopigana kwa mlango wa uwani wa kugawa silaha, bali ataingiza na yy jeshi lake zima.
 
us aingize tu jeshi lake kusambaratisha kikundi hicho cha kigaidi na baba yao iran anyukwe tu
 
us aingize tu jeshi lake kusambaratisha kikundi hicho cha kigaidi na baba yao iran anyukwe tu
Iran kumgusa sio kitu kidogo, nyuma ya Iran kuna Urusi na Urusi ndio atapata sababu ya kulipiza kisasi chake baada US kumsuport Ukraine.

Syria ile bila Urusi kwa fitina za US na mapandikizi ya IS,Asad alikuwa alikuwa anatoka madarakani.

Na kama hujui kuna habari za chini chini kuna uwezekano mwaka huu Iran ikawa tayari ana bomu la nuclear, wakati US akiwa busy na mgogoro huko Gaza,Yemen na Hizbolah, Iran huku anafanya mambo yake. US kumpiga Iran sio kitu rahisi kabisa.
 
Iran hawezi kuwa na nyuklia Marekani, Uingereza, Ufaransa, Israel wote wasifahamu eti wewe mfagia msikiti wa Tandale kwa Tumbo ndio uwe na taarifa. It's very strange if not funny 🤣🤣🤣🤣
 
mda utaongea tuwe wapole
 
Iran hawezi kuwa na nyuklia Marekani, Uingereza, Ufaransa, Israel wote wasifahamu eti wewe mfagia msikiti wa Tandale kwa Tumbo ndio uwe na taarifa. It's very strange if not funny 🤣🤣🤣🤣
Mimi sio mpuuzi na kiazi kama wewe ninacho kiongea na kijua na kukifuatilia, sina utoto wala ushabiki wenu wa kijinga kama ww.

View: https://m.youtube.com/watch?v=iV0vdqC0LCs&pp=ygUUSXJhbiBjcmVhdGUgbnVjbGVhciA%3D

Mimi sio oya oya kama wewe unayepayuka kama umekata kichwa unafikiria kwa kutumia kiwiliwili.

View: https://m.youtube.com/watch?v=SxF-szcg2mo&pp=ygUUSXJhbiBjcmVhdGUgbnVjbGVhciA%3D
Unataka tuharibiane siku kum* ww.Hao Fox na Hindustan Times nao wanafagia misikiti wa Tandale kwa Tumbo. Behave kuwa mstaarabu husmprovoke mtu husiye mjua,hiyo Habari ya Hindustan ina wiki mbili na hiyo ya Fox ina masaa 15.

Mnakuwa na akili kisoda kila mnacho kijadili manakijadili kwa mlengo wa dini, mpuuzi sana ku*ma wee.
 
Hamna la kushangaza hapa na Israel ana uwezo hata wa kuikalia Lebanon. Miaka ya nyuma walishawahi kuingia kuwasaidia wanamgambo wa kikristo wakipambana na waislam kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe hadi wanamgambo wa kikristo wakashinda vita. Lebanon hawana ubavu wa kuizuia Israel isifanye yake.
NB. mlipuko mkubwa wa shehena uliotokea Beirut miaka ya karibuni ile ilikua kazi ya Mossad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…