Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Huyo huko juu umempa like ni usa mweusiIsrahell ipi yakuingia Lebanon ila sawa kama wameingia watatoka wenyewe tu wala hatuna papara nao
Maana tutawafyeka tu yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo huko juu umempa like ni usa mweusiIsrahell ipi yakuingia Lebanon ila sawa kama wameingia watatoka wenyewe tu wala hatuna papara nao
Maana tutawafyeka tu yaani
Ghaza ma israhell yale magaidi ya idf yatafyekwa mpaka yakimbieIsrael hawaviwezi, ndio maana wameshindwa kuingia Gaza, wamebaki kurusha tu makombora hewani kutokea kwao
Yuko wapi huyo nimpokonye like yangu like zangu sio zakuwapa wazayuniHuyo huko juu umempa like ni usa mweusi
#7 soma taratibuYuko wapi huyo nimpokonye like yangu like zangu sio zakuwapa wazayuni
Nshamfyagia ☺️#7 soma taratibu
Kwani yameingia? Si yanaogopa vita vya ardhini?Ghaza ma israhell yale magaidi ya idf yatafyekwa mpaka yakimbie
Hamas hana kambi wala vifaa vya kisasa ila Hizbollah ana kambi na vifaa vya kisasa.kwani Hamas wakoje? Si tuliambiwa wanaviweza vita vya ardhini?
Hizi ni za ndani saaanaWiki kama tatu Hizbolah walikusanya makomandoo wao zaidi ya 2000 na kuwaambia wakae tayari. Vita nyingine inaenda kutokea mda wowote kinanuka na hii US ataingilia hatopigana kwa mlango wa uwani wa kugawa silaha, bali ataingiza na yy jeshi lake zima.
Jana Aljazeera wametangaza ni kweli IDF wamevuka mpaka na kuingia Lebanon ila wapo vijiji vya mwanzo vya mpakani.Kwani yameingia? Si yanaogopa vita vya ardhini?
Hivi una habari kuwa Iran nuclear plant imevuka kiwango cha urutubishaji?Iran hawezi kuwa na nyuklia Marekani, Uingereza, Ufaransa, Israel wote wasifahamu eti wewe mfagia msikiti wa Tandale kwa Tumbo ndio uwe na taarifa. It's very strange if not funny 🤣🤣🤣🤣
Hapana haijaingia yametokaKwani yameingia? Si yanaogopa vita vya ardhini?
Mbona umeongea utumbo??Hamna la kushangaza hapa na Israel ana uwezo hata wa kuikalia Lebanon. Miaka ya nyuma walishawahi kuingia kuwasaidia wanamgambo wa kikristo wakipambana na waislam kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe hadi wanamgambo wa kikristo wakashinda vita. Lebanon hawana ubavu wa kuizuia Israel isifanye yake.
NB. mlipuko mkubwa wa shehena uliotokea Beirut miaka ya karibuni ile ilikua kazi ya Mossad.
Naweza kusema ni mjinga tu anaedhania kwamba iran hana atomic bombHivi una habari kuwa Iran nuclear plant imevuka kiwango cha urutubishaji?
Ni only few percent imebaki kugeuza kuwa silaha.
Vyombo vyote vilitangaza.