IDF inaripotiwa kuingia Lebanon

Umesahau waarabu huo mpaka ukiwa tight watakufa njaa wote hawatakubali
 
hapo Gaza kakitongoji kama kigamboni tu hapo wamekimbia itakuwa huko lebanon?

Israel hawezi kabisa vita ya ardhini anachakazwa mpaka aibu yani. ujanja wao kupiga mabomu kutokea angani basi.. kama wanaume kweli washuke kwenye hizo ndege waende ardhini.. wasikimbie kama Gaza
 
Israel si wako Gaza au huko wako hewani hawako ardhini, unataka wawe ardhi gani sasa.
 
Punguza jazba mkubwa kuna wajinga pia siku hizi wanatumia jf

Kwahio nenda kadri ya ujinga wao ulipoishia
 
Mavi yao wavuke kwenda Lebanon.

Mnanikumbusha ile nyimbo ya US na UK kuwashambulia Al Houth oh tume zivunja silaha za Al Houth πŸ˜„ sa America na Uingereza wamewaingiza nchi za Europe kwenye matatizo sana wanakosa Gas ya Qatar na Gas ya M

Hivi unajua Gaza, Mlima Sinai vyote vilikua vya Misri?? Milima ya Golan ilikua ya Jordan?? yaani kuvuka mipaka hao jamaa ni kama kumsukuma mlevi vile.
 
Lebanon hawana uwezo wa kuizuia israhell ila Hizbullah wanao
 
Nyakati za usiku,ukisema usiku kucha ni kuanzia saa moja usiku Hadi 11 alfajiri
Sawa mkuu, basi mi nilikuwa nikijua si lazima kuzingatia mwanzo bali mwisho, kwahiyo hata kama tukio lingeanza saa 5 au 6 usiku likakesha hadi mapambazuko basi ingetosha kusema usiku kucha.
 
Wanaviweza, maana wamewashambulia Israel na kuwarudisha nyuma had Tel Aviv
Siyo lengo la Hamas,wao wanasema Gaza ni kaburi' la IDF..na ni dhahiri,hasa ukiona namna battalion za IDF wanavyoshangilia kurudishwa nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…