IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2022
Posts
9,576
Reaction score
13,545
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
 
Sawa amekusikia Generali Aviv Kochav
220px-Avivcoch.jpeg
 
MOSSAD kiboko ya wavaa kobaz. Wamewapasua Sana hao jamaa huko Lebanon, Syria (Elie Cohen) na Iran
Mpaka leo kwa mashariki ya kati ni Iran, Lebanon na Syria tu ndio sio washirika wa Israeli!!!! Saudi Arabia wananunua technology ya ulinzi wa anga toka kwenye makampuni ya mossad duniani!!!
 
hapana johathan Netanyahu ndio aliogopwa lakini Mungu akampenda zaidi
Alifia ndani ya ndege kwa majeraha ya risasi wakati wanatoka Entebbe!!! Na alikuwa wa mwisho kupanda ndege sababu alikataa kumuacha Dora Bloch aliekuwa hospital ambapo Amin alimuua baadae!!! Na alitaka kuzibeba zile maiti tatu za mateka walikufa wakati wanaokolewa Pasco Cohen na Jean Jaques Mimoun ambao waliwapiga risasi bahati mbaya na Ida Brovochovich aliyeuliwa na watekaji!!!

Na alikuwa anawabeba na kuwapakia kwenye ndege makomandoo watano wa Israel waliojeruhiwa mmoja baada ya mwingine huku akipigwa risasi za mgongoni wakati ndege ikiwa inakimbia kwenye run ways na akiwa amejifunga kamba kiunoni ili ndege isimuache!!!!Brave commando of all time Jonathan Ntenyahu!!!
 
Alifia ndani ya ndege kwa majeraha ya risasi wakati wanatoka Entebbe!!!Na alikua wa mwisho kupanda ndege sababu alikataa kumuacha Dora Bloch aliekua hospital ambapo Amin alimuua baadae!!!Na alitaka kuzibeba zile maiti tatu za mateka walikufa wakati wanaokolewa Pasco Cohen na Jean Jaques Mimoun ambao waliwapiga risasi bahati mbaya na Ida Brovochovich aliyeuliwa na watekaji!!!Na alikua anawabeba na kuwapakia kwenye ndege makomandoo watano wa Israel waliojeruhiwa mmoja baada ya mwingine huku akipigwa risasi za mgongoni wakati ndege ikiwa inakimbia kwenye run ways na akiwa amejifunga kamba kiunoni ili ndege isimuache!!!!Brave commando of all time Jonathan Ntenyahu!!!

Aiseee He will live in the history of Israel from generations to generations

Sijawahi sikia hii mkuu shukrani sana
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kichekesho! Kuna ka nchi kanajiona ni israel ya afrika ya kati, kanipiga mikwara wenzake wakubwa eti kanasea kako imara. Sasa kasijaribu kuichokoza nchi moja kubwa jirani yake na katajua kako imara kwa kiasi gani. Ile nchi kubwa jirani yake daima ina nguvu za kuwachakaza wachokozi, wawe wakubwa au wadogo kichapo kikubwa hupata
 
Aiseee He will live in the history of Israel from generations to generations

Sijawahi sikia hii mkuu shukrani sana
Nitaleta uzi mzima kuelezea namna Johnathan alivyoweza kuingia katikati ya vikosi vya majeshi ya misri na kukata main supply yao wakati majeshi ya israel yameshitukizwa na vita siku ya sikukuu yao ya yom kippur!!!Aliingia katikati ya majeshi ya misri na wanajeshi 2000 tu na wakafanikiwa kukata main supply ya wana jeshi wa msiri na kuwateka wote waliokua wamevuka suez canal na kuingia jangwa la Sinai na kulazimisha mazungumzo ya kubadilishana mateka waliokua wametekwa na majeshi ya misri na kupelekwa Cairo na Ismailia !!Wakati huo alikua kilometa 200 kutoka ismailia!!!
Aiseee He will live in the history of Israel from generations to generations

Sijawahi sikia hii mkuu shukrani sana
 
Kichekesho! Kuna ka nchi kanajiona ni israel ya afrika ya kati, kanipiga mikwara wenzake wakubwa eti kanasea kako imara. Sasa kasijaribu kuichokoza nchi moja kubwa jirani yake na katajua kako imara kwa kiasi gani. Ile nchi kubwa jirani yake daima ina nguvu za kuwachakaza wachokozi, wawe wakubwa au wadogo kichapo kikubwa hupata
Unawazungumzia RPA na RPF au????
 
Back
Top Bottom