Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Usimsahau Benjamin Ntenyahu na marehemu Sharoni!!! Idd Amin anamkumbuka vizuri zaidiSawa amekusikia Generali Aviv Kochav
Mpaka leo kwa mashariki ya kati ni Iran, Lebanon na Syria tu ndio sio washirika wa Israeli!!!! Saudi Arabia wananunua technology ya ulinzi wa anga toka kwenye makampuni ya mossad duniani!!!MOSSAD kiboko ya wavaa kobaz. Wamewapasua Sana hao jamaa huko Lebanon, Syria (Elie Cohen) na Iran
Algeria hawaahirikiani na Israel sasa wataanzajeKaka hata nchi za kiarabu kama UAE na SUDAN na MOROCCO na EGYPT na JORDAN pamoja na ALGERIA zinapeleka majasusi wake kufundwa na Mossad na zina balozi zisizo rasmi!!!!Sijui mataifa mengine yanafeli wapi kaka???
Hapana Johathan Netanyahu ndio aliogopwa lakini Mungu akampenda zaidiUsimsahau Benjamin Ntenyahu na marehemu Sharoni!!!Idd Amin anamkumbuka vizuri zaidi
Hili ni kweli na hii inaonyesha wana weledi wa hali ya juu sanaIsrael ni wachache sana, ila Sasa , Fikiria opereshen zao za kijasusi ni Dunia nzima
Jonathan alikuwa anaenda frontline sababu alikuwa mwanajeshi na kamanda ila mpika mipango alikuwa Benjamini na wenzie pale head quater Jerusalem ya wizara ya ulinzi ya Israel!!hapana johathan Netanyahu ndio aliogopwa lakini Mungu akampenda zaidi
Sawa amekusikia Generali Aviv Kochav
Alifia ndani ya ndege kwa majeraha ya risasi wakati wanatoka Entebbe!!! Na alikuwa wa mwisho kupanda ndege sababu alikataa kumuacha Dora Bloch aliekuwa hospital ambapo Amin alimuua baadae!!! Na alitaka kuzibeba zile maiti tatu za mateka walikufa wakati wanaokolewa Pasco Cohen na Jean Jaques Mimoun ambao waliwapiga risasi bahati mbaya na Ida Brovochovich aliyeuliwa na watekaji!!!hapana johathan Netanyahu ndio aliogopwa lakini Mungu akampenda zaidi
Wairan, Hezbolah na Islamic jihad na Hamas wanamfahamu vizuri zaidiJamaa kuna story ni mpole na ana aibu kuongea ila akiwa kazini ni zaidi ya lucifer
Mossad inawafundisha makachero wa Algeria nyuma ya pazia na inawapatanisha mgogoro wao na morocco!!Algeria hawaahirikiani na Israel sasa wataanzaje
Alifia ndani ya ndege kwa majeraha ya risasi wakati wanatoka Entebbe!!!Na alikua wa mwisho kupanda ndege sababu alikataa kumuacha Dora Bloch aliekua hospital ambapo Amin alimuua baadae!!!Na alitaka kuzibeba zile maiti tatu za mateka walikufa wakati wanaokolewa Pasco Cohen na Jean Jaques Mimoun ambao waliwapiga risasi bahati mbaya na Ida Brovochovich aliyeuliwa na watekaji!!!Na alikua anawabeba na kuwapakia kwenye ndege makomandoo watano wa Israel waliojeruhiwa mmoja baada ya mwingine huku akipigwa risasi za mgongoni wakati ndege ikiwa inakimbia kwenye run ways na akiwa amejifunga kamba kiunoni ili ndege isimuache!!!!Brave commando of all time Jonathan Ntenyahu!!!
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Alifia ndani ya ndege kwa majeraha ya risasi wakati wanatoka Entebbe!!!Na alikua wa mwisho kupanda ndege sababu alikataa kumuacha Dora Bloch aliekua hospital ambapo Amin alimuua baadae!!!Na alitaka kuzibeba zile maiti tatu za mateka walikufa wakati wanaokolewa Pasco Cohen na Jean Jaques Mimoun ambao waliwapiga risasi bahati mbaya na Ida Brovochovich aliyeuliwa na watekaji!!!Na alikua anawabeba na kuwapakia kwenye ndege makomandoo watano wa Israel waliojeruhiwa mmoja baada ya mwingine huku akipigwa risasi za mgongoni wakati ndege ikiwa inakimbia kwenye run ways na akiwa amejifunga kamba kiunoni ili ndege isimuache!!!!Brave commando of all time Jonathan Ntenyahu!!!
Nitaleta uzi mzima kuelezea namna Johnathan alivyoweza kuingia katikati ya vikosi vya majeshi ya misri na kukata main supply yao wakati majeshi ya israel yameshitukizwa na vita siku ya sikukuu yao ya yom kippur!!!Aliingia katikati ya majeshi ya misri na wanajeshi 2000 tu na wakafanikiwa kukata main supply ya wana jeshi wa msiri na kuwateka wote waliokua wamevuka suez canal na kuingia jangwa la Sinai na kulazimisha mazungumzo ya kubadilishana mateka waliokua wametekwa na majeshi ya misri na kupelekwa Cairo na Ismailia !!Wakati huo alikua kilometa 200 kutoka ismailia!!!Aiseee He will live in the history of Israel from generations to generations
Sijawahi sikia hii mkuu shukrani sana
Aiseee He will live in the history of Israel from generations to generations
Sijawahi sikia hii mkuu shukrani sana
Ushahidi?Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi????
Unawazungumzia RPA na RPF au????Kichekesho! Kuna ka nchi kanajiona ni israel ya afrika ya kati, kanipiga mikwara wenzake wakubwa eti kanasea kako imara. Sasa kasijaribu kuichokoza nchi moja kubwa jirani yake na katajua kako imara kwa kiasi gani. Ile nchi kubwa jirani yake daima ina nguvu za kuwachakaza wachokozi, wawe wakubwa au wadogo kichapo kikubwa hupata