IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Egypt ana Jeshi kubwa na kisasa na lenye nguvu .
Simply because His probable Enemy is Israel Ambae Kwenye Manouver and Tactics Yuko Mbali sana .
 
Nimemuona ila nilipoleta uzi mada kuu tunazungumzia uzoefu wa kijeshi kwa wanajeshi especially IDF!!Mambo ya udini na siasa hapa hii sio mada yake!!!!
Kuna watu wamezaliwa namtumbo huko ila wanasema kwao ni Saudi Arabia!.
 
Nelson....
Hakuna Uislam wowote katika mchsngo wangu.

Andika Kiswahili nakuelewa zaidi kuliko ukiandika Kiingereza.

Nimekuwekea hapa Yom Kippur War 1973.

Nikakuwekea Abdul Hakim Ameir nikakwambia Sadat kahisi jinamizi la Six Days War.

Ninakuletea vifaru vya Field Marshall Josip Tito wa Yugoslavia haya yote ndani ya Sinai.

Uislam uko wapi hapo.
Hukutegemea haya kutoka kwangu.
Unaelewa mada lakini mzee wangu!!!Ubora wa IDF na operation zake na Mossad na operation zake!!!Na uzoefu wa wanajeshi katika uwanja wa mapambano
 
Upo sahii kaka mimi kama mchambuzi nazungumzia takribani operation zaidi ya 100+ ambazo IDF wamezifanya kwa matokeo chanya!!!Ndio nikasema kwa sasa IDF ni jeshi bora zaidi kaka kuliko majeshi mengi tu ulimwenguni!!!Sasa wadau wanaleta udini na siasa na wanatoka nje ya mada!!
Nelson...
Mimi kukufahamisha kuwa nayajua haya tunayojadili nimekuwekea vitabu viwili kutoka Maktaba yangu kukudhihirishia kuwa naijua historia ya Israel kutoka ulimi wao wenyewe.

Nikakuwekea na kitabu kingine ambacho kilitengezwa senema maarufu na Spielberg - ''Schindlers List.''

Mimi siandiki mtindo wa ''Barua.''

Hupenda kuweka rejea hata kama ni picha na hupenda picha ambayo mimi mwenyewe nimepiga.

Ndiyo nikakuwekea mahojiano yangu na VoA na mahojiano yale yalikuwa kuhusu Ugaidi Duniani.

1675707868943.png

1675707928522.png
 
Nelson...
Mimi kujkufahamisha kuwa nayajua haya tunayojadili nimekuwekea vitabu viwili kutoka Maktaba yangu kukudhihirishia kuwa naijua historia ya Israel kutoka ulimi wao wenyewe.

Nikakuwekea na kitabu kingine ambacho kilitengezwa senema maarufu na Spielberg - ''Schindlers List.''

Mimi siandiki mtindo wa ''Barua.''

Hupenda kuweka rejea hata kama ni picha na hupenda picha ambayo mimi mwenyewe nimepiga.

Ndiyo nikakuwekea mahojiano yangu na VoA na mahojiano yale yalikuwa kuhusu Ugaidi Duniani.

View attachment 2508847
View attachment 2508852
Hii mada wewe huiwezi sababu hauna uzoefu wa kijeshi na hujawahi kushiriki operation za kijeshi na haujui ubora wa majeshi mzee wangu!!!!Wacha wanajeshi wachangie uzoefu wao uwanja wa mapambano sio wa kwenye vitabu mzee wangu!!!
 
Unaelewa mada lakini mzee wangu!!!Ubora wa IDF na operation zake na Mossad na operation zake!!!Na uzoefu wa wanajeshi katika uwanja wa mapambano
Nelson...
Naielewa sana mada.

Hebu soma jina la kitabu cha Mossad nilichoweka: ''The Greatest Missions of the Israel Secret Service.''

Nimeweka kitabu hiki kwa sababu ndilo somo tunalosoma hapa.

Naelewa makubwa na mazito na ninaandika vitabu na ''papers'' basi nishindwe kukuelewa wewe?

Haiyumkiniki.
 
Nelson...
Mimi kujkufahamisha kuwa nayajua haya tunayojadili nimekuwekea vitabu viwili kutoka Maktaba yangu kukudhihirishia kuwa naijua historia ya Israel kutoka ulimi wao wenyewe.

Nikakuwekea na kitabu kingine ambacho kilitengezwa senema maarufu na Spielberg - ''Schindlers List.''

Mimi siandiki mtindo wa ''Barua.''

Hupenda kuweka rejea hata kama ni picha na hupenda picha ambayo mimi mwenyewe nimepiga.

Ndiyo nikakuwekea mahojiano yangu na VoA na mahojiano yale yalikuwa kuhusu Ugaidi Duniani.

View attachment 2508847
View attachment 2508852
Tunazungumizia ubora wa wanajeshi vitani na uzoefu wao uwanja wa mapambano na shuruba za kua mstari wa mbele kama asikari wa miguu!!Hapa ndio ubora wa IDF unapoonekana,,wanajeshi sio watu wa vitabu ni watu wa kupokea amri!!!!Hivyo vitabu leo hapa sio mada yake mzee wangu
 
Terrorist understand only the language of Guns, bombs etc
 
Hii mada wewe huiwezi sababu hauna uzoefu wa kijeshi na hujawahi kushiriki operation za kijeshi na haujui ubora wa majeshi mzee wangu!!!!Wacha wanajeshi wachangie uzoefu wao uwanja wa mapambano sio wa kwenye vitabu mzee wangu!!!
Nelson...
Unajuaje kama sina uzoefu wa kijeshi?
Unataka kunichimba kesho uandike kuwa nina mafunzo ya silaha?

Huu uzi umueleta hapa wacha nichangie.
Mimi sitoki hapa nitachangia kama unavyochangia wewe.

Nini shida yako.
Hofu ya ninayoyajua yanakufanya wewe ujihisi mdogo hujui kitu?

Dunia ndivyo ilivyo.
 
Nelson...
Unajua kama sina uzoefu wa kijeshi?

Unataka kunichimba kesho uandike kuwa nina mafunzo ya silaha?
Huu uzi umueleta hapa wacha nichangie.

Mimi sitoki hapa nitachangia kama unavyochangia wewe.
Nini shida yako.

Hofu ya ninayoyajua yanakufanya wewe ujihisi mdogo hujui kitu?
Dunia ndivyo ilivyo.
Sikuchimbi ila huu uzi ni wa kijeshi zaidi wewe mwanasiasa wa vitabuni hujawahi kwenda frontline!!!!Au umewahi mzee wangu kuonja adha za uwanja wa mapambano popote pale duniani???
 
Back
Top Bottom