Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nelson...Aaah mzee wangu mada nimeleta mimi kuhusu ubora wa majeshi na uzoefu wa vitani!!!Sasa wewe unahamishia kwenye vitabu na udini na siasa!!!Wanajeshi hatuna story za vitabu na udini au siasa sisi waga tunapokea order tu!!!Kama hujawahi kua kwenye uwanja wa mapambano sio lazima uchangie mzee wangu
Hakuna udini usiogope kutaja Uislam.
Na huo Uislam hapa uko wapi?
Umewaleta Wyahudi.
Uyahudi ni taifa na ni dini vyote viko pamoja.
Nani kahamisha mada kwenye vitabu?
Mimi si mwanasiasa wala sijpanda katika jukwaa la siasa hata siku moja.
Vitabu ndiyo msingi wa elimu yote duniani.
Mbona kila ukizunguka unarejea kutaka kujua kama najua silaha?
Huu ni uwanja huru ukileta mada sote tunachangia kila mtu kadri ya uwezo wake.
Kama unahisi nafanya makosa kushiriki mjadala huu wafahamishe Adm. wanipige ban.
Huu ndiyo uamuzi lakini wewe usinikataze kuchangia.