IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

USA anaongoza kwenye kila kitu kasoro active duty soldiers

Israel anategemea sana pesa za US kufanya tafiti na kuziuza.

Wanasema tafiti nyingi za Kijeshi huanzia Unit 8200
Hapo kwenye active duty soldier,s na commando's ndio napopazungumzia mimi ubora wa IDF kama mchambuzi wa kijeshi
 
Nelson...
Nakuwekea hiyo picha hapo chini kutoka Maktaba yangu.
Picha inasema maneno 1000:

Kitabu cha Schindler kitakupa mateso waliyopitia Wayahudi katika Vita Vya Pili Vya Dunia.
Achana na vitabu mzee wangu nazungumzia uzoefu wa wanajeshi uwanja wa mapambano kukabiliana iwe urban au mazingira mengine yoyote yale!!!IDF ni mfano wa kuigwa linspokuja suala la combat head to head,unit to unit,na eloctronical warfare,s!!!
 
Jina la kibabe
Kina,Jonathan ni wababe
Aliweza kuongoza ndege bila kuonekana kwenye rada za nchi za misri na sudan mpaka wanaingia anga la kenya upande wa ziwa victoria kuelekea Entebbe international airport!!!
 
Basi tuachane na kuanzushwa kwake tuje kwenye vita ya 2006 Israel alishindwa hiyo vita.
ITR sasa kama hujui Hezbollah ilianzishwa mwaka gani????Kweli utaweza kujadili vita vya IDF na wanamgambo wa Hezbollah?????
 
Himars,
Israel ilianza kudhoofika baada ya Vita Vya Yom Kippur 1973.
Katika vita na Hizbullah 2006 ndipo ile ''myth'' ya nguvu za Israel ilipovunjika hadi leo.

Nimepata kualikwa sehemu fulani mara mbili Zanzibar na Dar es Salaam kuzungumza kuhusu hili.
Mzee said nina wasiwasi unaleta siasa na maneno na udini katika vita vya hezbollah na majeshi ya IDF chini ya General Herzi Halevi!!!Je tactics za uwanja wa mapambano zilikuaje na udhaifu wa Hezbollah na udhaifu wa IDF ndio vitu vya kujadili!!!Toka mwanzo nilikuambia hii mada sio ya siasa bali ya wanajeshi waliokwenda uwanja wa mapambano tunajadili matukio!!!Siasa na udini kwa sisi wachambuzi wa kijeshi hapa sio mahali pake!!Rudi kwenye mada mzee wangu
 
Nelson...
Maneno hayo uliyosema Anwar Sadat alimwambia Mohamed Hassanain Heykal alipotaka kumhoji wakati wa Vita Vya Yom Kippur mwaka wa 1973.

Haikal alitoka Cairo kwenda kufanya mahojiano na Sadat akiwa Montaza Palace, Alexandria.

Nimefika Montaza Palace Alexandria:

51150437_403387320408652_7120247365138644992_n.jpg

Montaza Palace, Alexandria​
Sasa unatoka nje ya mada mzee wangu!!!Mada ni ubora wa majeshi na pia wanajeshi wawe wa msiri au israel mada ni uzoefu wao uwanja wa vita!!!Sadat wa nini hapa?????
 
Nelson...
Naona umepata hofu baada ya kuniona nimeingia kuchangia.
Allah ana maajabu yake.

Unadhani kuwa mimi siko katika club hii yako.
Kila utakavyonifikiria kuwa basi itakuwa siyo.

Hapa nilipoanza kuandika nikawa naitwa kwa kejeli, ''ustadh,'' ''mufti,'' ''sheikh.''
Nilipata sana tabu kuwafahamisha kuwa sinazo sifa hizo.

Baadae wakanijua kuwa siwezi kuwa na vyeo hivyo lakini kwa wao kuona picha nilizoweka nifahamike.

Nisome kwa makini kuna kitu utajifunza kutoka kwangu.
Tunazungumzia ubora wa majeshi na uzoefu wa wanajeshi uwanja wa vita!!!Usitoke nje ya mada mzee wangu
 
Sasa mzee wangu said mimi mada yangu sio kwenye vitabu!!!Mimi nazungumzia uzoefu wa ndani ya uwanja wa mapambano kupigana!!!Wanajeshi hatuhitaji vitabu kuelezea uzoefu wa vitani!!!Unatoka nje ya mada mzee wangu
Nelson...
Elimu gani ambayo leo haiko katika vitabu?
Mbona unahangaika hivi?

Mbona wenzio wote wananisoma na kufurahia kalamu yangu?
Nimeandika kuhusu vita na Wayahudi wako katikati ya hayo mapambano.

Unaona wivu jinsi ninavyoyajua mambo?
Hebu tulia mjadala uendelee.
 
Nelson...
Elimu gani ambayo leo haiko katika vitabu?

Mbona unahangaika hivi?

Mbona wenzio wote wananisoma na kufurahia kalamu yangu?

Nimeandika kuhusu vita na Wayahudi wako katikati ya hayo mapambano.

Unaona wivu jinsi ninavyoyajua mambo?

Hebu tulia mjadala uendelee.
Aaah mzee wangu mada nimeleta mimi kuhusu ubora wa majeshi na uzoefu wa vitani!!!Sasa wewe unahamishia kwenye vitabu na udini na siasa!!!Wanajeshi hatuna story za vitabu na udini au siasa sisi waga tunapokea order tu!!!Kama hujawahi kua kwenye uwanja wa mapambano sio lazima uchangie mzee wangu
 
Nelson...
Elimu gani ambayo leo haiko katika vitabu?

Mbona unahangaika hivi?

Mbona wenzio wote wananisoma na kufurahia kalamu yangu?

Nimeandika kuhusu vita na Wayahudi wako katikati ya hayo mapambano.

Unaona wivu jinsi ninavyoyajua mambo?

Hebu tulia mjadala uendelee.
Sasa maneno kama ""wayahudi wako""inaonyesha wewe sio mchambuzi wa medani za kivita bali unaleta udini na kutoka nje ya mada mzee wangu!!!Soma mada inasemaje mzee wangu Said Mohamed!!!
 
Sasa unatoka nje ya mada mzee wangu!!!Mada ni ubora wa majeshi na pia wanajeshi wawe wa msiri au israel mada ni uzoefu wao uwanja wa vita!!!Sadat wa nini hapa?????
Nelson,
Labda hujui yaliyotokea wakati Sadat anazungumza na Heikal.

Sadat alijibu fedhuli.

Alikuwa akiamini ule ushindi wa mwanzo wa Misri Sinai ulikuwa unaendelea.

Kilichokuwa uwanja wa mapambano Sinai ni kuwa Wayahudi walikuwa wamelizingira jeshi la Misri na kukata "supply line."

Kuanzia hapo mambo yakawa mengine.

Sadat akahisi mzimu wa Abdul Hakim Ameir umemzukia wa Six Day War 1967.

Unamuuliza Anwar Sadat wa nini hapa?

Anwar Sadat ni Commender in Chief Egyptian Army vita vya Yom Kippur dhidi ya Israel.

Vipi.

Hatakiwi katika uwanja huu wa Bar Lev.

Bar Lev ishabomolewa.
Majeshi ya Misri na Syria yanasonga mbele.

Field Marshall Josip Tito analeta vifaru kutoka Yugoslavia vinashushwa Sinai kuwakabili Wayahudi.

Tulia kaka waache wasomaji wasome.
 
Back
Top Bottom